Waziri wa Mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe na Balozi Mwanaidi Sinare Maajar wakizuru banda la TZUK na SwissFreight wakati wa ufunguzi wa Diaspora 2 Conference, London
watoa mada na wahisani wa Diaspora 2 Coneference katika kikao cha kabla ya ufunguzi wa mkutano huo
Mtangazaji wa BBC Charles Hilary akiwa na wadau kwenye mkutano wa Diasora 2
wajumbe wa mkutano wa Diaspora 2
wadau mkutanoni
sehemu ya wajumbe
wadau mkutanoni
wadau
ukumbi wa mkutano wa Diaspora 2
Mh. Membe na Balozi mwanaidi Sinare Maajar na Naibu Balozi Chabaka Kilumanga na Twalane Migiro (pili shoto) mkutanoni
Caro Chipeta akiweka mambo sawa kwa mai hazbendi wake wakili Mh. Walter Chipeta kabla ya Mkutano
Balozi Mwanaidi Sinare Maajar akisalimiana na Hassan Chimwetta
Mh. Membe akutana na watoa mada na wafadhili wa mkutano kabla ya kuufungua rasmi
wadau kibao walijitokeza mkutanoni
Mtangazaji anayekuja juu kwa kasi Sporah Njau (kati) na baadhi ya timu yake
Mh. Membe akijichanganya na wadau mkutanoni
Mwenyekiti wa TZ UK anayemaliza muda wake Aboubakar Faraji (kulia) akiwa na w
adau wa mkutano wa Diaspora 2











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. TRAVELLING TO THE SATTAVIS PATIDAR CENTRE:-


    SATTAVIS PATIDAR CENTRE
    FORTY AVENUE J/W THE AVENUE
    WEMBLEY PARK
    MIDDLESEX
    HA9 9PE

    Tel: +44 (0)20 8904 9191

    Fax: +44 (0)20 8904 9392

    email: sales@sattavis.co.uk


    By Car:

    Sattavis Patidar Centre is located just off the North Circular Road within easy reach of Central London, and the rest of the country, with major motorways connecting nearby.

    From the North: M1/A1, A406, A4088
    From the West: M4, A312, A40, A406, A4088
    From the South: M25 (J8), A217, A240, A24, A3, A306, A205, A406, A4088
    From the East: M11, M25 (J23), A1, A41, A406, A4088

    The car park is on ‘The Avenue’ Corner of Forty Avenue

    By Bus:

    Buses 245, 223 passes the door and buses 83, 182, 297, PR2 stop nearby.

    By Underground:

    The METROPOLITAN LINE is the quickest underground route from Central London, an average journey time of fifteen minutes from Baker Street to Wembley Park Station. The JUBILEE LINE also stops at Wembley Park Station, and the new Jubilee Line extension now gives easy access to Wembley from south east London

    By Rail:

    North Wembley station links to Euston Station with a journey time of around twelve minutes.

    ReplyDelete
  2. Jamani hakuna hata mmoja aliyevaa bendera ya Tanzania Duh!

    ReplyDelete
  3. MwanaCCM- ItalyMarch 27, 2010

    Ushujaa ni Conference kulaani vitendo cha wasomi waelewa kuanzisha matawi ya vyama vya siasa in diaspora.
    HAYA NI MAMBO AMBAYO HAYANA TIJA KWA UMOJA WETU UGHAIBUNI.


    Ni mimi Mtanzania mwanadiaspora wa Italy.

    ReplyDelete
  4. Namuona Mzee wa Macharanga a.k.a kiduchu alivyotoka mchicha na Suti kali staili ile ya miaka 1992,Old aint gold,lol. Endeleza libeneke mzee.

    ReplyDelete
  5. Michuzi,

    Hawa si ndiyo umewabatiza na kuwadhihaki kila siku na jina la wabeba maboksi? Au siyo hawa?

    ReplyDelete
  6. Kaka Allan kalinga naona umetoka kama investor from Dubai, u have made my day brother

    ReplyDelete
  7. Hassani Chimweta we una cheo gani mazeee katika serikali ya JK..kijana unatisha..

    ReplyDelete
  8. ANKO ACHA KUTUBANIA ANKO, TUMEKUMISS, TUWEKEE HATA PICHA YAKO YA MKUTANONI TUKUONE UMETOKA VIPI ANKO WETU. SIUNAJUA SISI WANAO TUNAKUPENDA SANA. BASI USITUBANIE.

    ReplyDelete
  9. Carol Chipweta ni mtunza mahesabu ubalozini na husband wakili Chipweta ndio mtoa mada mmoja wapo wa mambo ya dual citizen ship?? Kazi kweli kweli pesa ya mkutano lazima irudi nymbani.

    ReplyDelete
  10. Master of Ceremonie was very good indeed. is that posible to have his contacts pliss!! Pliss!!.I might need to hire him some time next week at London School of MCs.Pliss.

    ReplyDelete
  11. Afikiri utaratibu huu wa kukutana wana diaspora udumishwe maana inatoa nafasi ya kupata changamoto mpya. Sijui kama nimetoka nje ya mada, ninatafuta mchumba kati ya watz waliopo nje, najua mtakuwa na maoni mengi lakini nina maana yangu ambayo nitaidisclose kwa mhusika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...