Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akisalimiana na Mkurugenzi wa Sandali Hood Indishies Ltd Dk Azim Fazal Mara Baada ya Kufunguwa Warsh ya Matumizi Endelevu na Uzalishaj Bora na Biashara Endelevu iliyofanyika kwenye Hotel ya Tanga Bech Resort huko Mkoaani Tanga leo. Kati ni Profesa Cleophas Migiro ambaye ni Mkurugenzi wa Uzalishaji Bora (Cleaner Production Centre of Tanzania)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...