Home
Unlabelled
dk. shein katika chakula cha hisani london kuchangia hospitali ya bugando
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HUYU BABA MUNGU AMPE NGUVU PIA ASIJAALIWE KUWA NA STORI CHAFU KATIKA HII NCHI. KWANI ANAJITUMA NI MNYENYEKEVU HAPENDI MAKUU SIJUI KAMA NI MAONI YANGU FINYU ILA NINACHOSEMA MUNGU AMPE NGUVU TU.
ReplyDeleteBy Mdau
Mr. Vice u look so good!!!
ReplyDeleteWadau, wale waliojaaliwa uwezo lazima tuchangie sekta za elimu na afya. Nilipokuwa nasoma ughaibuni kitu nilichogundua ni kuwa watu wenye uwezo husaidia sana sekta za elimu na afya ama kupitia "trusts" au "foundationa" au hata ujenzi wa miundombinu zinazohitajika na scholarship. Hii inahakikisha kuwa huduma inajengwa na ufisadi unapunguka. Kama alivyosema JFK "Ask not what your country can do for you, but ask what you can do for your country". Utamaduni huu unafaa kukuzwa. Ed.
ReplyDelete