hivi ndivyo lilivyo eneo la kipawa kwa sasa mara baada ya nyumba zote zilizokuwepo katika eneo hili kuvunjwa ili kupisha utanuzi wa uwanja wa ndege wa J.K. Nyerere
mmoja wa vijana waliokuwa wakiishi eneo hilo akijaribu kutafuta chochote kitakachoweza kumfaa katika makazi yake mapya huko aendako
hakuna kilichobaki zaidi ya miti na minazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. HIVI MINAZI SIO MITI EH??

    ReplyDelete
  2. SASA BW.MICHUZI MINAZI SIO MITI AU UNAPOSEMA MITI NA MINAZI UNAKUSUDIA NINI ?

    ReplyDelete
  3. Ingawa ni jambo zuri kupanuwa uwanja. Je, wakazi walitafutiwa sehemu za kuishi na kulipwa compensation?

    ReplyDelete
  4. Kilichomchanganya mwandishi labda ni kwa sababu minazi inatoa matunda ya kipekee ambayo yanachanganywa kwenye wali, miti mingine haina matunda kama hayo.

    ReplyDelete
  5. Kilichomchanganya mwandishi labda ni kwa sababu minazi inatoa matunda ya kipekee ambayo yanachanganywa kwenye wali, miti mingine haina matunda kama hayo.

    ReplyDelete
  6. Pamependeza kweli!

    ReplyDelete
  7. Ankal nae sometimes bana, eti miti na Minazi...tehetehetehe

    ReplyDelete
  8. Wananchi waliohamishwa hapa na kupelekwa maeneo ya Pugu na Chanika wakutana na joto la jiwe kwenye makazi yasiyo na miundo mbinu wala huduma za jamii na mikwaruzano hatarishi kutoka kwa wenyeji wa maeneo hayo.Nasikia hali kama hii inawasubiri wakazi wa Kigilagila na Kipunguni ambao sasa wanatakiwa kutia maji wakisubiri kunyolewa.Eneo hili la Kipawa nasikia limetengwa kwa ajili ya maduka makubwa,maduka ya huduma na mahoteli.Nasikia kule Japani waliopoona watu wanasogeza makazi yao karibu sana na eyapoti waliamua kujaza kifusi baharini na kupata eyapoti swaafi isiyosogelewa na mtu.

    ReplyDelete
  9. hapana hawajalipwa unasubuliwa wewe anony wa 26,02;27;00 pm uje kuwalipa maana maswali mengine una uliza kama tahira

    ReplyDelete
  10. Nategemea eneo litatumika kwa madhumuni husika. Sio tena tusikie kapewa nanii kujenga hotel..patachimbika!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...