Home
Unlabelled
eneo la kipawa lionekanavyo sasa baada kutembezwa nyundo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HIVI MINAZI SIO MITI EH??
ReplyDeleteSASA BW.MICHUZI MINAZI SIO MITI AU UNAPOSEMA MITI NA MINAZI UNAKUSUDIA NINI ?
ReplyDeleteIngawa ni jambo zuri kupanuwa uwanja. Je, wakazi walitafutiwa sehemu za kuishi na kulipwa compensation?
ReplyDeleteKilichomchanganya mwandishi labda ni kwa sababu minazi inatoa matunda ya kipekee ambayo yanachanganywa kwenye wali, miti mingine haina matunda kama hayo.
ReplyDeleteKilichomchanganya mwandishi labda ni kwa sababu minazi inatoa matunda ya kipekee ambayo yanachanganywa kwenye wali, miti mingine haina matunda kama hayo.
ReplyDeletePamependeza kweli!
ReplyDeleteAnkal nae sometimes bana, eti miti na Minazi...tehetehetehe
ReplyDeleteWananchi waliohamishwa hapa na kupelekwa maeneo ya Pugu na Chanika wakutana na joto la jiwe kwenye makazi yasiyo na miundo mbinu wala huduma za jamii na mikwaruzano hatarishi kutoka kwa wenyeji wa maeneo hayo.Nasikia hali kama hii inawasubiri wakazi wa Kigilagila na Kipunguni ambao sasa wanatakiwa kutia maji wakisubiri kunyolewa.Eneo hili la Kipawa nasikia limetengwa kwa ajili ya maduka makubwa,maduka ya huduma na mahoteli.Nasikia kule Japani waliopoona watu wanasogeza makazi yao karibu sana na eyapoti waliamua kujaza kifusi baharini na kupata eyapoti swaafi isiyosogelewa na mtu.
ReplyDeletehapana hawajalipwa unasubuliwa wewe anony wa 26,02;27;00 pm uje kuwalipa maana maswali mengine una uliza kama tahira
ReplyDeleteNategemea eneo litatumika kwa madhumuni husika. Sio tena tusikie kapewa nanii kujenga hotel..patachimbika!!
ReplyDelete