for more video
Home
Unlabelled
francis chengula entertains @ Diaspora 2 in London
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
for more video
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michu asante kwa video lakini ningependa kuona picha za mgando zaidi si unajua net yetu huku uswazi mkuu kudownlod Video issue! Alafu nauliza hicho kitambaa hapo katikati ya jukwaa chenye rangi kama za jezi ya timu soka ya Jangwani kinaashiria kuwa huu ulikuwa mkutano mkuu wa Tawi la wanachama wa chama chetu cha Reading au???
ReplyDeleteulinganisha idadi ya watanzania waishio uk na idadi ya vitu vilivyokuwa vitupu one has to conclude kuwa mkutano haukuwa na matayarisho mazuri, haukutangazwa vyema. zaidi ya hapa kwa michuzi ni sehemu ngapi zaidi ulipotangazwa?
ReplyDeletePia siku ni mbaya, kwa nini haukufanywa week end or kuna bank holiday monday inakuja kwa nini usifanyike wakati huo? ukumbi umekuwa mtupu kwa sababu watu wako mzigoni.
sirahisi kwa wengi kuchukuwa day off kuja mkutanoni, tushazipanga siku zetu za likizo ni kufika nyumbani.
Huu wimbo mzuri sana yabidi uwe promoted ili uwe unatumiwa sehemu mbalimbali. Unaelezea vitu vingi ambavyo watanzania tumebarikiwa navyo. Naweza upata wapi michuzi? huyu dada ni Francis au Francia?
ReplyDeleteHUYU DADA ALIEIMBA NINGEPENDA NIMPONGEZE SAAAANA, MAANA ALIUCHANGAMSHA MKUTANO KWA KWELI, NA ALIIMBA VIZURI + SHE'S VERY BEAUTIFUL NA PIA MAVAZI ALIYOVAA KWAKWELI YALIKUWA CHANGAMOTO KWETU TUNAOISHI UGHAIBUNI NA TUNASAHAU MAVAZI YA KWETU
ReplyDeleteHUO WIMBO NITAUPATA WAPI, NI WIMBO MZURI SANA WA NCHI YETU
Nafikiri anaitwa Francia, mimi nilishamuona Tanzania mwaka jana Diamond Jubelee aliimba kwenye maonyesho ya mavazi ya khanga. Sasa waimbaji wazuri kama hawa mbona hatuwaoni mara kwa mara ili tuwainvite ktk event?
ReplyDeleteWimbo ni mzuri na unachezeka, maana wakati mwingine just because ni wimbo wa nchi basi unakuwa umekaa design fulani but this song is fantastic and would love to have in my car na pia kuutumia katika utalii.
Asante sana Francia, ila ningependa tu nipate details zake zaidi ili tupate nyimbo zake au website yake.michuzi tuulizie basi
Weeee! hebu nyie msione watu wazuri mnajidai nipate details zake, Michuzi hata kama unazo usiwape wengine wamemmind tu, ukiwapa wataanza topic zingine. dada wa watu anaonekana katulia, kama mnataka details si mumtafute
ReplyDeleteHee msinichekeshe, eti naomba details zake,kwani wewe una agent gani ya kumuinvite kuimba kwanza tuambie ni event gani umeshaandaa
wimbo mzuri? give me a break!!! ok ukisema maneno katika wimbo ni mazuri hapo sina pingamizi. lakini kwa uimbaji la! hakuwa akiimba alikuwa akipiga kelele, sauti ilikuwa kama ya kukwaruza kama mtu alokula bofla kavu!!!!
ReplyDeletehongereni woote na mkutano mzuri, i hope what you discussed will be worked upon and we'll see the fruits soon.
ReplyDeleteHuyo Francis muimbaji wa wapi mbona sijamsikia?
Lakini nimempenda sana na I hope tutaendelea kumuona kwenye stage
Huyu dada nimeshamsikia sehemu nyingi akiimba na ana sauti nzuri sana. jana alikuwa amekaukiwa na sauti na alisema kabla ya kuimba kwamba ana kifua, hivyo kwa jana tumemsamehe kwa sauti, watu tuliomsikia sehemu nyingine akiimba tunajua she has got a wonderful Voice.
ReplyDeleteKama hauamini nunua CD yake au mualike kwenye bithday yako umsikie LIVE. Acha wivu kwani we talent yako ni nini, si afadhali mwenzako anaimba na ni mzuri, we hebu tuma picha yako basi
whether sauti imekwaruza ama haikukwaruza, ameimba na watu wamemmind, ametokea kwenye blog na hataishia hapo. hatuna haja ya kumcriticise haisaidii, yule anaejua ana sauti nzuri zaidi basi next time aimbe yeye au mlete yule unayeona ana sauti nzuri.
ReplyDeleteSisi tumemmind mdada ni Full package na ninasikia ni LAWYER, WAOOOOh, kazi kwako