
Dear Participants,
It is with a great sense of pride and gratitude, I extend very warm greetings and best wishes to everyone involved in the conception and organization of the Mtu Kwao Diaspora 2 London Conference. I wish to congratulate most sincerely the conference participants for taking time to participate in the two-day event despite their busy schedules and obligations.
It is with a great sense of pride and gratitude, I extend very warm greetings and best wishes to everyone involved in the conception and organization of the Mtu Kwao Diaspora 2 London Conference. I wish to congratulate most sincerely the conference participants for taking time to participate in the two-day event despite their busy schedules and obligations.
I commend the organizers for a job very well done. They have lived up to the spirit of the Swahili saying: “Usione vinaelea vimeundwa”. Indeed, you have proven to be excellent creators and great builders.
Mobilizing Tanzanians living abroad to contribute to the advancement of their country, kinsmen and themselves is an important policy objective of our government. Whenever I met Tanzanians living abroad, I never hesitated to remind them of this important and historic duty of theirs.
Mobilizing Tanzanians living abroad to contribute to the advancement of their country, kinsmen and themselves is an important policy objective of our government. Whenever I met Tanzanians living abroad, I never hesitated to remind them of this important and historic duty of theirs.
I am particularly, happy with the good work being done by the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation and our Embassies abroad, of encouraging and organizing members of the Tanzanian diaspora to form associations and hold regular meetings.
I congratulate Tanzanians living in the UK for being the first to form such an association and for holding meetings. This second meeting demonstrates in clear terms that you are committed and things are working well. I congratulate Ambassador Mwanaidi Maajar for her leadership.
I congratulate Tanzanians living in the UK for being the first to form such an association and for holding meetings. This second meeting demonstrates in clear terms that you are committed and things are working well. I congratulate Ambassador Mwanaidi Maajar for her leadership.
I have transferred her to Washington, but, I am confident that the seeds she planted will survive and the tree will grow to full maturity and bear the desired fruits.
I am very glad that at this year’s conference there is going to be strong participation of important leaders of financial and other institutions from home. These institutions can facilitate the effective participation of the Tanzanian diaspora in terms of remittances, investments and construction of houses.
I am very glad that at this year’s conference there is going to be strong participation of important leaders of financial and other institutions from home. These institutions can facilitate the effective participation of the Tanzanian diaspora in terms of remittances, investments and construction of houses.
I welcome their participation. I implore you to seize this opportunity and use it to the fullest possible advantage. If you do so you will have fulfilled your objectives and our expectations as a nation and as your kith and kin back home.
The other thing I wish to remind you is that we expect you to be our explorers for discovering what is good for our country and its people. After the discovery find ways to bring those benefits home. I have in mind markets, investments, technology as well as other useful things in the fields of education, medicine, science and technology, philanthropy etc.
The other thing I wish to remind you is that we expect you to be our explorers for discovering what is good for our country and its people. After the discovery find ways to bring those benefits home. I have in mind markets, investments, technology as well as other useful things in the fields of education, medicine, science and technology, philanthropy etc.
Use your good offices, your contacts and exposure to promote growth and development at home and improve the living standard of your fellow citizens and relatives. I am confident you can do this. Please rise to the occasion.
Let me conclude by once again expressing my deepest appreciation to you for establishing the Tanzanian diaspora association and congratulate you for the good work you have been doing in pursuit of your objectives.
Let me conclude by once again expressing my deepest appreciation to you for establishing the Tanzanian diaspora association and congratulate you for the good work you have been doing in pursuit of your objectives.
My promise to you is that, my government and I will give you all the necessary cooperation and support, within our powers, to help you succeed in your objectives and endeavours. We will be together for the long haul as long as we continue to do the right things for the benefit of our people and nation.
I wish you every success in your Mtu Kwao Diaspora 2 London Conference andin all the good work that you do in your association.
God Bless Africa,
God Bless Tanzania,
God Bless the Tanzanian Diaspora in UK
Jakaya Mrisho Kikwete
PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
I wish you every success in your Mtu Kwao Diaspora 2 London Conference andin all the good work that you do in your association.
God Bless Africa,
God Bless Tanzania,
God Bless the Tanzanian Diaspora in UK
Jakaya Mrisho Kikwete
PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
A very strong speech, which gives courage to pursue more and more for the better Tanzania. However, I still insist the government to get well prepared in term of putting conducive environment to allow all the prospects from these ongoing Diaspora processes to implementable. Goog international trade policies, legal frameworks, good governance and a consistent political will are decisive tools necessary to bring the common better life in Tanzania with such togherness approach.
ReplyDeleteyours,
Tanzanian in Germany.
Nimeipenda hotuba hii. Itekelezwe.
ReplyDeleteLakini mbona tukijenga boda jamaa wa nyumba kumi na katibu kata wanafata rushwa eti sisi si raia.
Pia TRA wanatulamba kodi za nguvu tukituma vitu vya thamani kusaidia ndugu zetu.
Pia TRA wantulamba kodi za nguvu kwa kuwekeza boda eti sisi wageni.
Juweni uraia huu wa kigeni tumeupata ili tupate feza na baadaye turejee kujenga kwetu: sasa mnatufukuzaa?
Aliyosema raisi akiyatekeleza, Tz itaongoza kwa kusaidiwa na wtz wenye roho nzuri walio nje.
Us blogger)
ReplyDeleteunajua sisi ni watu wazima wenye akili zao msituchezee
1. Ni kosa la jinai kutumia jina la rais kuandika makala uchwara
2. Ni nabii yohanna John Mashaka ndiye mwandishi wa hii makala. Kwa nini stymie kizungu kibovu alafu aseme ni rais?
3. Rais kikwete ni mtu aliyesoma sana mwenye phd kama Mimi ambaye hawezi kabisa kutumia kizungu kibovu Kama hiki. Ni janja ya nabii kumkashifu rais
kwa hiyo nabii inabidi afikilie vizuri kabla ya kutumwagia Changa l macho. Mashaka ni mtoto mwenye akili na rais asimpe kazi yoyote, hawafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi, hacha ya uwaziri. Abakie huko wakovia afanye investment banking akishafulia aje nimpe kazi ya kunipigia viatu rangu
Dr.
(US Blogger)
God bless Africa
ReplyDeleteGod bless Tanzania
God bless the Tanzania Diaspora in Uk
Good saying Mr. Prez. but your systems in the country are not conducive or welcoming to the sons and daughters of Tanzania (The wamatumbi especially). What I am trying to say is ..... sie wazawa hatukaribishwi kama mnavyo ahidi...
ReplyDeleteTukirudi nyumbani tunapata matatizo mengi sana kwa sababu mentality iliyopo ni kwamba sie siyo wawekezaji kama wenye asili ya kiasia au kiyuropa au hata kichina..!
The environment is very hostile for Wazawa... there are no deliberate efforts in place to encourage or assist US (WAZAWA WEUSI)..
We are disillusioned and disappointed because we are not even treated right!!! other countries support their OWN SONS AND DAUGHTERS FIRST before others... and they are NOT ASHAMED to let the whole world know.. uliza waarabu, wahindi na wengineo... au hata WanyaRwanda for heavens sake... wajengao nchi ni WAZAWA wengine wezi tu! serikali zao zinaweka upendeleo wamakusudi wakuwasaidia katika nyanja mbali mbali za uwekezaji ikiwemo financing na regulations za uwekezaji.... inasikitisha kuwa .... the ones in place in TANZANIA give a lot of leeway and prefer foreigners to us... And the worst is that Tanzania is so HYPOCRITICAL about racism and the UMOJA and AMANI we are supposed to be enjoying..!!! wana enjoy wengine..WAZAWA tumekuwa kama wageni waalikwa au wapita njia au ma-houseboy/girls wa wageni...!!! KWETU!!!
So unless something changes...we are still not comfortable coming back home...because we are not welcome we are made to feel like ALIENS!!... that is the truth.... wote tuliorudi tume sumbuliwa na kukatishwa tamaa na viongozi waserikalini na miondo mbinu iliyopo ...
Wachache waliofanikiwa kurudi ni aidha watoto wa wakubwa au rafiki za wahindi au wamedandia migongo ya wazungu, wachina etc.... hawakusimama kama waTanzania peke yao!!!
TUPO WAZAWA kwenye DIASPORA na tuna uwezo na uchungu wa kutosha kufanya maendeleo nyumbani... ila...MMMhhhh... CCM imeoza.... na haina mpango wa kubadilika au kuleta mabadiliko... shame.
mtanzania ni mtanzania tu, siyo nani wala nani. msitupotezee ela zetu na hivi vitu feki vya diaspora, sisi tuko dar tumesoma na kazi hatupati. sasa hao diaspora watatoa wapi kazi?
ReplyDeleteacheni wizi, raia wasingekimbia nchi on the first place.
ReplyDeleteMdau,
Barking,UK
Hapa kuna case 2 waliokimbia nchi na waliokwenda kutafuta maisha sasa mdau wa Barking, asichanganye hilo.Kuna wakimbizi wa Zanzibar ambao walikimbia kwa nia ya kuipaka matope Tanzania na kuna watu wapo nchi za ulaya miaka mingi ttu na wanatumia majina yao halisi na sio ya bandia na hao ndio watanzania walengwa kwenye maada ya urai wa nchi mbili.
ReplyDeleteKenge
UJUMBE KWA MBUZI US BLOGGER:
ReplyDelete============================
KATI YA WATANZANIA MILLIONI 40, NAONA HUYU MBUZI MSHAMBA US BLOGGER, AMEZIDI KWA MAPUA YENYE MAKAMASI. HUYU MBUZI HANA ADABU, KOMENTI ZAKE ZA KIPUMBAVU HAJUI PA KUZIPOSTI. KWENYE HOTUBA NZURI ZA RAIS YEYE ANALETA WIVU ZAKE ZA KIKE. YOHANA JOHN MASHAKA NI MTU ALIYEWAHI UMANDE UKAKUBALI SIYO TU ALIWAHI UMANDE, BALI PIA MWENYEZI MUNGU KAMBARIKI NDIO MAANA ANAKIPAJI CHAKE. SASA WEWE ULIYEENDA OXFORD SIJUI MAVI GANI WEWE NI NINI AMBAYO UMEIONYESHA UMMA WA KITANZANIA, ? AU NI BOXI ZAKO NDIO ZINAKURUKISHA AKILI? MPUMBAVU NI MPUMBAVU JARIBU KUWA MTU MZIMA. HACHA WIVU. MASHAKA ALIKUNYIMA NINI, AU KAKUNYANG'ANYA MUME? KUMBAF WEE US BLOGGER. NINGEKUJUA AISEE NINGEKUPIGA NGWALA KWELI SIKUTANII. sioni tofauti yako na KIGIRIGISI AU MAFISADI DGAA. MASHAKA UMMA WA KITANZANIA UNAMPENDA WEWE JEE, KUMBAFF USITULETEE UCHAFU WAKO KWENYE HOTUBA YA MTUKUFU RAIS.WA JAMHURI YA MUUNGANO WA KITANZANIA
======================
MDAU
Birmigham UK
Hotuba imetulia,ila nasikia uchungu sana kuwa expectation ya rais ipo mbali sana ukweli halisi ya watanzania wanaoishi uk.
ReplyDeleteRais,wacha nikupe statistics ya mwisho ambayo itatumwa ubalozini soon kuwa.
1.Zaidi ya asilimia 65 ya raia ya wa Tanzania wanafanya kazi zisizohitaji advanced education,yani ni wabeba box,kwa hiyo kipato ni duni
2.na Hao %35,%25 wanafanya professional ya mshahara wa kuweza kujihudumia wenyewe na kidogo cha ziada kutuma nyumbani,ni %10 tu ndio wapo katika kazi nzuri ya kuweza kuinvest katika biashara ndogo ndogo.
NOTE:Hii survey imejumuisha pia wale wabongo waliojiwasha kupitia wasomali au warwanda
kwa hiyo rais hapa kikubwa si kuwavuta watu wawekeze,wasisitize wabongo wasome,wapate kuachana na maisha duni na kufanya kazi za ajabu ajabu,wakishakuwa na kipato kizuri,wenyewe watakuja kuwekeza.
Mdau wa istanbul + Mdau wa Uk
Thirudi bongo ng'ooo hata mseme au kufanya nini. Dhuluma tupu. Wizi mtupu. Nitachuma, kulipa tax, na kuishia hukuhuku. Nimesota sana bongo. Nilikuwa mwajriwa wa kampuni ya umma, nikaenda kuongeza ilimu ya kazi ile ile niliyokuwa nikiifanya. Baada ya kuhitimu na kurudi kibarani - Ridandansi! Eti sifai. Okee okee, sasa niko ughaibuni natesa tu, nakuhakikishia sio boxi. Ulinzi wa maana juu yake. Nadraivu kiulaiiiini, hakuna mafoleni yasiyo na mpango. Aafu eti dayaspora tu dayaspora mbili sijui! Thubutuuuu, hapo mmeula wa chuuyaaa. Nasema sirudi ng'ooo! Rudini wenyewe na dayasipora foo(4)mkitokea Dodoma. Vumbi tele, mafua tele, polushoni kibao, nani ana husudu hiyo? Eti dayasipor! Jamaani, wacha nicheke - eeh mama mbavu zanguu, jamani mbavu zangu mieee! kidumuu!
ReplyDeleteNASIKITIKA KWA UFINYU WAKO WEWE HUENDA UKAWA MZANZIBAR KWANI HAWA WALIOPO LONDONI WANAJIFANYA WAJAMAICA WENGINE WASOMALI ANYWAY ALWAYS MJINGA SI LAZIMA ASEME OVYO SOMETIME INATOKEA AKAWA NA MAWAZO FINYU KAMA YAKO, NA SIKU ZOTE MCHUKIA KWAO NI MTUMWA POLE SIJUI DADA/KAKA.
ReplyDeletePIA NAWAOMBA WENZANGU TUSIWE NA AKILI ZILIZOSINYAA KAMA HIZI TUTAFUTE HUKU UGAIBUNI TURUDI TUKAENDELEZE FAMILIA ZETU TULIZOZIACHA MAKWETU.
MASIKINI MWENZETU NDO KALIDHIKA TEYARI ATAKUWA NA ILE ZANZIBAR/LONDON DESEASE. NYUMBANI NI NYUMBANI WATANZANIA TUMEJAALIWA UPEO MZURI WA KUFIKIRIA HAIJALISHI HUNA AU UNACHO.
MDAU DADA
Nina faraja sana bwana MICHUZI pia yuko katika diaspora II,hoja yangu ni hizi
ReplyDelete1.uraia wa nchi mbili si suala la kujadiliana tena,waambie ni la lazima,ulimwenguni watu wanagombana kuungana,wanunda umoja wa namna mbalimbali sisi tuntaka tuishi pekee na matatizo lukuki tuliyo nayo,DUAL CITIZEN NI HIJA MHIMU NA MUAFAKA-WATU WANA DUAL CITIZENSHPI ZA KUGHUSHI HADI LINI.
2.nchi yetu ifanye mpango wa makusudi wa kusomesha wananchi wake kwenye elimu ya juu,hauwezi kuwekeza kwenye nchi ambayo viongozi-wakurugenzi,mameneja ni wakenya,waganda,wasauzi-upevu na ukomavu wa akili unapatikana mtu anapoudhuria masomo ya juu,ambayo kwa watanzania sasa ni kosa la jinai kupata.
3.wenzetu wanaiga mfumo wa uwezeshaji wa watu weusi,BLACK ECONOMIC EMPOWERMENT-BEE,ambaosi dhambi kuuiga na kuutumia kwani hao weupe wantushirikisha katika sera zao za kukuza uchumi,iweje iwe dhambi sisi kuinua uchumi wa watu wa jamii yetu BLACK RACE,4.Waambie watofautishe kati ya sera uwekezaji na ukuzaji uchumi na siasa zao chafu,uchumi unakuzwa na uwekezaji madhubuti,sera safi,uongozi makini,na zaidi takwimu,haya mambo ya uchumi unapaa kumbe wanaupaisha kwenye akaunti zao hautawafikisha popote.mwambie MEMBE anaweza kuwa muhimu zaid kwa taifa hili baadae ajiandae kwa urais 2015-ILA AJIFUNZE KEWA MWANAMAPINDUZI WA KWELI NA MWANAKIPINDUPINDU.TUWAKILISHE VYEMA TWAKUAMINIA MICHUZI.
MZAZI CHOPANGA.
Hakuna kitu kigumu kama kuishi ugenini,kwani wewe ni second citizen, kizazi chako ni second citizens, nachoshangaa only Tanzania kwa upeo wangu ndio nchi inayowapa foreigners first Priority... sasa tutafika vipi, Nationalist is the way FOWARD, what about (Tanzania national party?) nadhani kuna vitu vitabadilika.
ReplyDeleteMdau,
Barking, UK
HAKUNA CHA MASHAKA HAPA WALA CHA NINI UPUUZI MTUPU WA KUJIANDIKIA COMMENTS!
ReplyDeleteati mchukia kwao ni mtumwa tunapachukia saaana tu tutapendaje kwetu wakati kumetawaliwa na ufisadi?? ajali zinachinja watu kila siku tena kwa idadi kubwa huyo waziri bado amekalia kiti tuu na kuimbiwa nyimbo za kumpamba! haya maji shida umeme kitendawili shuleni watoto wanakaa chini shule nzima mwalimu mmoja hosipitali rushwa manyanyaso polisi rushwa uonevu eapoti wezi dhuluma halafu mnaleta sentesi yenu ushuziz ati mkataa kwao ni mtumwa nyoo mmenyimwa viza tha s why eeeh!! nyinyi ndo watumwa maana mnanyanyasika nyumbani kwenu hapo nani mtumwa?? boxi ni kazi hata huko lazima mfanye kazi ndio mkono uende kinywani imeandikwa asiefanya kazi na asile na asiepiga box asile so kupiga box sio ishu!!! kweli sitaaarudiii mimi.. sitaaarudi...
ReplyDeleteUNAJUA KUNA WATU WAPUMBAVU SANA,WEWE MTU MZIMA NA AKILI YAKO UNAKOSA KAZI NA KUANZA KUJIANDIKIA COMMENTS...SHAME ON YOU,WATU MWAMESHAJUA TRICKS ZAKO..HAPA HAKUNA CHA US BLOGGER WALA MASHAKA WOTE NI MTU MMOJA HALAFU MWIZI TU..ACHA HUO UPUMBAVU WAKO...KUHUSU DIASPORA MIMI NAHISI KWANZA WAANZE NA URAIA PACHA MAANA WATANZANIA WENGI WALISHAKATA TAMAA NA NCHI YAO THEN WAKAKIMBIA NJE NA WENGI WANA MAKARATASI YA NJE ITAKUWA NGUMU KUJA KUWEKEZA NYUMBANI KWANI HAWATAMBULIKI.NI HAYO TU.
ReplyDelete