Home
Unlabelled
heshima ya mtu ni utu, anasema baraka chibiriti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SIJAONA RAISI DUNIANI MWENYE ADABU, NIDHAMU, NA HESHIMA KAMA HUYU.
ReplyDeletebaada yake ni Kikwete.
hahaha.. hii ni picha ya kumtania obama kwa kufanya rookie mistake.. hutakiwi kumshika mkono na kumuinamia mfalme wa japani.. kihistoria ni mungu mtu..
ReplyDeleteKwanza yule mzee sawa na baba yake, kwa hivyo amefanya vyema kumuamkia kwa style ile.
ReplyDeleteHuyo mfalme angelikwenda Uganda enzi za Idd Amin Dada angeinama yeye, maana jamaa alikuwa hamnazo kabsaa!!
ReplyDeleteHAKUNA CHA ADABU HAPO ADABU INAKUJA KWA NJIA YOYOTE ILA SIO KUMUINAMIA BINADAMU MWENZAKO. SI MUNGU HUYO.
ReplyDeleteHeshima kitu cha bure, hupungukiwa chochote. Bravo Obam
ReplyDelete1. "Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu. Baba yangu ambaye ninyi mwasema ni Baba yenu, ndiye anayenitukuza"
ReplyDelete2. "Mungu huwapinga wenye majivuno, lakini huwajalia neema wanyenyekevu."
3. "Namusipokuwa wanyenyekevu kama watoto wadogo, kamwe hamtauona ufalme wa mbinguni"
Obama alivunja miiko ya kusalimiana!
ReplyDeleteNadhani hakupewa brief nzuri kuhusu usalimiaji, the Japanese style!
Hapa alikosea hata kwenye mila zetu za kiafrika kidume ni kidume unasalimia huku umevimbisha kifua.
ReplyDeleteNasikia kuna siku Malkia ilibidi atoe Gloves alipotaka kusalimiana na Mwalimu Nyerere hiyo ndiyo heshima ya kiafrika. Obama alichemka in this one.
Ni makosa kwa taifa kubwa kujishusha kwa Taifa dogo. Haya ni matatizo ya watumwa kupewa utawala, hawajui misingi ya kuwa nambari wani kama ilivyo kwa USA.
ReplyDeleteObama awe makini asije akaangusha dola kubwa na akaingia kwenye historia kuwa mtu mweusi ndiye aliyeporomosha taifa kabisa baada ya Roman Empire!!!!
kitabu kimepanda siyo mchezo he is very mannered to every person not only God but also a human being no matter where you come from it matters where you are going that is i high high Obama,
ReplyDeleteGrolia Padmore, Lewinsiville,Texas
SI VIBAYA KUELIMISHANA KUPITIA BLOG YA JAMII,KUELIMIKA DARASANI KWA KUSOMA NA KELIMIKA KWA KASAFIRI NA KUKUTATA NA WATU,DESTURI NA MILA MALIMBALI.KWA JAPANI NI KAWAIDA KUINAMISHA KICHWA UNAPOSALIMIA ATA AKIWA MWENDAWAZIMU KAMA AMEKUZIDI UMRI UNAANZA WEWE SIMASEI KISHA UNA BEND,NA MKUBWA ATAKUJIBU KISHA NAE ANAINAMISHAKICHWA KAMA ISHARA YA KUPOKEA SALAMU ZAKO.
ReplyDeletewatu wengine bwana,that is Japanesee culture!pple agggrrhh obama yuko right kabisaa!every society has got diff culture,mnashangaa nini?
ReplyDeleteBravo Obama!
Hii inamainama ya Obama imekuwa "tu machi", Waamerika wengi wemekandia, hii staili ya raisi wa taifa kubwa. Ndio unampa heshima mtu lakini hii ni "ova dani".
ReplyDeletejamani wabongo mmezidi kila muonalo lazima mlikosoe?sasa hapo cha ajabu nini?mwacheni obama wa watu kabisaaa kila mtu ana tabia zake haiwahusu na kama hapo mshaambiwa ndio salamu ya huko.mambo hamyajui viherehere tuuuu.i like the guy!
ReplyDeleteThis guy is just unique. I just love him to death!
ReplyDeletembona anafanya hivyo kwenye mataifa ambayo yana uchumi mzuri? yanayobadili mboga, kama ni heshima angeanza kumuinamia kibaki kenya alikotoka baba ake! labda us inadaiwa na jap , au anaomba tafu akaombewe msaada wa kufutiwa deni china us inadaiwa trilion 500 na ushee sijui watalipa lini
ReplyDelete