Heshima ya mtu ni utu wake, wala si mali, cheo au vitu vya thamani alivyonavyo. Hapa Rais Barak Obama wa Marekani akionesha heshima yake wakati akimuamkia Mfalme wa Japan.
Mdau Baraka wa Chibiriti,
Cesena, Italy

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. SIJAONA RAISI DUNIANI MWENYE ADABU, NIDHAMU, NA HESHIMA KAMA HUYU.

    baada yake ni Kikwete.

    ReplyDelete
  2. hahaha.. hii ni picha ya kumtania obama kwa kufanya rookie mistake.. hutakiwi kumshika mkono na kumuinamia mfalme wa japani.. kihistoria ni mungu mtu..

    ReplyDelete
  3. Kwanza yule mzee sawa na baba yake, kwa hivyo amefanya vyema kumuamkia kwa style ile.

    ReplyDelete
  4. Huyo mfalme angelikwenda Uganda enzi za Idd Amin Dada angeinama yeye, maana jamaa alikuwa hamnazo kabsaa!!

    ReplyDelete
  5. HAKUNA CHA ADABU HAPO ADABU INAKUJA KWA NJIA YOYOTE ILA SIO KUMUINAMIA BINADAMU MWENZAKO. SI MUNGU HUYO.

    ReplyDelete
  6. Heshima kitu cha bure, hupungukiwa chochote. Bravo Obam

    ReplyDelete
  7. NautiakasiMarch 22, 2010

    1. "Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu. Baba yangu ambaye ninyi mwasema ni Baba yenu, ndiye anayenitukuza"

    2. "Mungu huwapinga wenye majivuno, lakini huwajalia neema wanyenyekevu."

    3. "Namusipokuwa wanyenyekevu kama watoto wadogo, kamwe hamtauona ufalme wa mbinguni"

    ReplyDelete
  8. Obama alivunja miiko ya kusalimiana!

    Nadhani hakupewa brief nzuri kuhusu usalimiaji, the Japanese style!

    ReplyDelete
  9. Hapa alikosea hata kwenye mila zetu za kiafrika kidume ni kidume unasalimia huku umevimbisha kifua.
    Nasikia kuna siku Malkia ilibidi atoe Gloves alipotaka kusalimiana na Mwalimu Nyerere hiyo ndiyo heshima ya kiafrika. Obama alichemka in this one.

    ReplyDelete
  10. Ni makosa kwa taifa kubwa kujishusha kwa Taifa dogo. Haya ni matatizo ya watumwa kupewa utawala, hawajui misingi ya kuwa nambari wani kama ilivyo kwa USA.

    Obama awe makini asije akaangusha dola kubwa na akaingia kwenye historia kuwa mtu mweusi ndiye aliyeporomosha taifa kabisa baada ya Roman Empire!!!!

    ReplyDelete
  11. kitabu kimepanda siyo mchezo he is very mannered to every person not only God but also a human being no matter where you come from it matters where you are going that is i high high Obama,
    Grolia Padmore, Lewinsiville,Texas

    ReplyDelete
  12. SI VIBAYA KUELIMISHANA KUPITIA BLOG YA JAMII,KUELIMIKA DARASANI KWA KUSOMA NA KELIMIKA KWA KASAFIRI NA KUKUTATA NA WATU,DESTURI NA MILA MALIMBALI.KWA JAPANI NI KAWAIDA KUINAMISHA KICHWA UNAPOSALIMIA ATA AKIWA MWENDAWAZIMU KAMA AMEKUZIDI UMRI UNAANZA WEWE SIMASEI KISHA UNA BEND,NA MKUBWA ATAKUJIBU KISHA NAE ANAINAMISHAKICHWA KAMA ISHARA YA KUPOKEA SALAMU ZAKO.

    ReplyDelete
  13. watu wengine bwana,that is Japanesee culture!pple agggrrhh obama yuko right kabisaa!every society has got diff culture,mnashangaa nini?
    Bravo Obama!

    ReplyDelete
  14. Hii inamainama ya Obama imekuwa "tu machi", Waamerika wengi wemekandia, hii staili ya raisi wa taifa kubwa. Ndio unampa heshima mtu lakini hii ni "ova dani".

    ReplyDelete
  15. jamani wabongo mmezidi kila muonalo lazima mlikosoe?sasa hapo cha ajabu nini?mwacheni obama wa watu kabisaaa kila mtu ana tabia zake haiwahusu na kama hapo mshaambiwa ndio salamu ya huko.mambo hamyajui viherehere tuuuu.i like the guy!

    ReplyDelete
  16. This guy is just unique. I just love him to death!

    ReplyDelete
  17. mbona anafanya hivyo kwenye mataifa ambayo yana uchumi mzuri? yanayobadili mboga, kama ni heshima angeanza kumuinamia kibaki kenya alikotoka baba ake! labda us inadaiwa na jap , au anaomba tafu akaombewe msaada wa kufutiwa deni china us inadaiwa trilion 500 na ushee sijui watalipa lini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...