Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa MEMBE,
    No disrespect Sir,.... but we all know you are just paying LIP SERVICE... you don't mean a word you are saying and you will not even follow up to see some success... So enjoy your shopping spree in London.

    ReplyDelete
  2. hii balaa sasa huyo mwarabu cjui feki waiti au kajidai kuvaa taii la sisiemu anataka kuuuziwa migodi pia au?MAANA diaspora nia wazawa cjui hao feki waiti wanafuata fuata nino huko.au ndo wanataka kutuleteea magonjwa kaa hao wengine baarick mgodi!!! naomba usnibanie faza mithupu

    mdau coventry

    ReplyDelete
  3. As much as I am trying to avoid to criticism, sometimes we are forced to...
    Huyu waziri anafanya nini sasa? wala hasikiki, sijui kama kuna point hata anaelezea.

    Nafikiri Anon wa kwaza uko sahihi... ni shopping tu

    ReplyDelete
  4. hivi nyinyi wanawake huko london mlishindwa nini kuipamba hiyo meza?? mmeweka huo ushuzz gani hapo mezani wakati kuna viongozi kibao hamna haya mnahitaji kufundwa nyinyi pyuuuu!!

    ReplyDelete
  5. mtowa maoni wa nne toka juu, hivi unaishi dunia gani? yaani unaona upambaji wa meza ni jukumu la wanawake peke yao? kwa nini wanaume waliokuwa wanahusika na shuhuli hii huwalaumu? grow up man!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...