Home
Unlabelled
kip lefti mtaa wa azikiwe avenue
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi jamani Tanzania kuna ugonjwa gani wa kutokuwa serious na ishu muhimu kama hii. Hili handaki linaweza dumu hata miaka kadhaa bila kufanyiwa kazi. Jamani watu wa Miundombinu, Jiji wanatoa macho kwenye ma-VX na GX tuu. wanafanya nini.....Ankal I dont understand kabisa....
ReplyDeleteMichuzi toa habari za Simba kuwa Bingwa basi! Mbona unabania! Bwawa likishinda mechi, habari moto, Sima mmmh
ReplyDeletehii ndio bongo tambarare,kweli kazi ipo,hata alama tu shughuli!!
ReplyDeleteduuh, idadi ya viplefti inazidi kuongezeka tu bongo! hiyo itasaidia sana katika kupunguza muda wa kufanya shughuli za uzalishaji. bongo kweli tambarareee.
ReplyDeleteInachekesha, lakini ukweli ni kwamba inadhihirisha jinsi wabongo tulivyo na vichwa vya mbuzi. watu wamelalamikia kiplefti za ina hiyo (mtakumbuka ile Liyumba keepleft ya mwaka jana kama sio juzi), lakini wahusika wanaona huo ndio utambalale (maana tukisema tambarare tunapotosha ukweli)!!!!
ReplyDeleteHAPO KULIKUWA NA MASHIMO MAWILI YALISHABABISHWA NA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR NA YALISHA ZIBWA TANGU TAREHE 7 MWEZI WA 3 KWA KUTUMIA UTAALAMU WA KISASA AMBAPO UNAWEKA VIRAKA VYA KIOO HIVYO MTU ASIYEKUWA NA UTAALAMU ATAONA KAMA KUNA SHIMO LAKINI AKIPAKANYAGA BASI ATAGUNDUA KUWA SHIMO LIMEZIBWA. HII NDIYI TEKINOLOJIA YA SASA INAYOTUMIWA NA JIJI SIKU HIZI NA HATA MASAKI UMETUMIWA UTAALAMU KAMA HUU.
ReplyDeleteBORA MASHIMO KULIKO MATUTA AMBAYO NI GHARAMA KUBWA. HONGERA SITE KWA UBUNIFU.
ReplyDeleteHongera usalama barabarani kwa kushirikiana na site kwa ubunifu wa kupunguza kasi ya magari.Mbinu hii waitumie hata barabara za Dar kwenda Mikoani ili kudhibiti mwendokasi hasa wa mabasi
ReplyDelete