KipLefti mpya imeanza kuundwa wikiendi hii katikati ya barabara ya azikiwe avenue jijini dar, na hakuna anayejua itafunguliwa lini na pinda ama JK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hivi jamani Tanzania kuna ugonjwa gani wa kutokuwa serious na ishu muhimu kama hii. Hili handaki linaweza dumu hata miaka kadhaa bila kufanyiwa kazi. Jamani watu wa Miundombinu, Jiji wanatoa macho kwenye ma-VX na GX tuu. wanafanya nini.....Ankal I dont understand kabisa....

    ReplyDelete
  2. Michuzi toa habari za Simba kuwa Bingwa basi! Mbona unabania! Bwawa likishinda mechi, habari moto, Sima mmmh

    ReplyDelete
  3. hii ndio bongo tambarare,kweli kazi ipo,hata alama tu shughuli!!

    ReplyDelete
  4. duuh, idadi ya viplefti inazidi kuongezeka tu bongo! hiyo itasaidia sana katika kupunguza muda wa kufanya shughuli za uzalishaji. bongo kweli tambarareee.

    ReplyDelete
  5. Inachekesha, lakini ukweli ni kwamba inadhihirisha jinsi wabongo tulivyo na vichwa vya mbuzi. watu wamelalamikia kiplefti za ina hiyo (mtakumbuka ile Liyumba keepleft ya mwaka jana kama sio juzi), lakini wahusika wanaona huo ndio utambalale (maana tukisema tambarare tunapotosha ukweli)!!!!

    ReplyDelete
  6. HAPO KULIKUWA NA MASHIMO MAWILI YALISHABABISHWA NA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR NA YALISHA ZIBWA TANGU TAREHE 7 MWEZI WA 3 KWA KUTUMIA UTAALAMU WA KISASA AMBAPO UNAWEKA VIRAKA VYA KIOO HIVYO MTU ASIYEKUWA NA UTAALAMU ATAONA KAMA KUNA SHIMO LAKINI AKIPAKANYAGA BASI ATAGUNDUA KUWA SHIMO LIMEZIBWA. HII NDIYI TEKINOLOJIA YA SASA INAYOTUMIWA NA JIJI SIKU HIZI NA HATA MASAKI UMETUMIWA UTAALAMU KAMA HUU.

    ReplyDelete
  7. BORA MASHIMO KULIKO MATUTA AMBAYO NI GHARAMA KUBWA. HONGERA SITE KWA UBUNIFU.

    ReplyDelete
  8. Hongera usalama barabarani kwa kushirikiana na site kwa ubunifu wa kupunguza kasi ya magari.Mbinu hii waitumie hata barabara za Dar kwenda Mikoani ili kudhibiti mwendokasi hasa wa mabasi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...