Natumai unaendelea vizuri na shughuli zako za kila siku naomba sana unipostie kuhusu blog yangu ya
nimatumaini yangu utawajuza watazamaji wako wa blog ya jamii. Nakutakia kazi njema na pia tuko pamoja katika mtandao.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
BLOG MPYA????...MBONA NI YALE YALE, NYUZI NI ZILE ZILE, PICHA NI ZILE ZILE AMBAZO TUMEKWISHA ZIONA KWA MICHUZI..JAMANI WABONGO KUWENI CREATIVE KIDOGO, ACHENI KUIGANA, BLOG YA NYUZI MUACHIENI ANKAL MWENYEWE, ANZISHENI VITU VINGINE TOFAUTI...ANGALIANI MFANO WA JAYDEE, 8020FASHIONS, MJENGWA,BONGO CELEBRITY - WOTE WANAONGELEA VITU TOFAUTI...HAYA WEEEEE!!!! NI MAONI YANGU TU
ReplyDeletejamani libeneke lina wenyewe. sio kila mtu mwenye internet anaweza kuwa 'globber'
ReplyDelete