Natumai unaendelea vizuri na shughuli zako za kila siku naomba sana unipostie kuhusu blog yangu ya
nimatumaini yangu utawajuza watazamaji wako wa blog ya jamii. Nakutakia kazi njema na pia tuko pamoja katika mtandao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. BLOG MPYA????...MBONA NI YALE YALE, NYUZI NI ZILE ZILE, PICHA NI ZILE ZILE AMBAZO TUMEKWISHA ZIONA KWA MICHUZI..JAMANI WABONGO KUWENI CREATIVE KIDOGO, ACHENI KUIGANA, BLOG YA NYUZI MUACHIENI ANKAL MWENYEWE, ANZISHENI VITU VINGINE TOFAUTI...ANGALIANI MFANO WA JAYDEE, 8020FASHIONS, MJENGWA,BONGO CELEBRITY - WOTE WANAONGELEA VITU TOFAUTI...HAYA WEEEEE!!!! NI MAONI YANGU TU

    ReplyDelete
  2. jamani libeneke lina wenyewe. sio kila mtu mwenye internet anaweza kuwa 'globber'

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...