Ankal pole na mambo ya Anfield ni
nyinyi wenyewe mliamua kuwa mnavaa
jezi nyeusi-msiba mlikaribisha uchuro.
badilisheni jezi mwakani mambo yatakuwa safi.
Ankal tuwekee tangazo la Forum yetu
tunakaribisha watu kwa maoni
na majadiliano ya kiistarabu.
Mdau
wazalendoforums.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hawa ni wagomvi tuu!?

    ReplyDelete
  2. hii Forum babu kubwa.ni kiboko yao.

    ReplyDelete
  3. hawa jamaa kiboko ya jamii Forums.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...