Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. WATU WENGINE OVYO SASA WANALETA DINI KUHUSU KALENDA WAACHIENI KILIMANJARO WANAJUWA WENYEWE MIAKA YAO YA TUNZO.

    ReplyDelete
  2. Ankal posti zako zikikaa siku mbili unafuta? Vipi unapataje posti za march 1 hadi 7?

    ReplyDelete
  3. rasta kanena hila usijifanye unachonga sana watakunyima zawadi unacheza na bongo!!!

    ReplyDelete
  4. Kuyumba kwa miezi ya utoaji tuzo kunawatatanisha wasanii, kutaja kalenda tofauti ni kueleweshana, maana hadi sasa haijatamkwa kuwa kalenda ya tuzo imebadilishwa, so far official it's still June to June.

    Wakiwanyima tuzo haijalishi, ubora wa kazi hujionesha. Jamaa miaka mitatu kapumzika kwenye game lakini bado anaongoza kwa idadi ya tuzo miongoni mwa reggae musicians.

    ReplyDelete
  5. rasta Ino kanona,jamani tuambizane basi kama unatumia kitimoto kwa wingi au tuseme ndio pombe ya Ulanzi ya Kihee ikutoe kitambi hivi???we acha tu sie atusemi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...