Home
Unlabelled
majadiliano katika semina elekezi ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2010 part I
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WATU WENGINE OVYO SASA WANALETA DINI KUHUSU KALENDA WAACHIENI KILIMANJARO WANAJUWA WENYEWE MIAKA YAO YA TUNZO.
ReplyDeleteAnkal posti zako zikikaa siku mbili unafuta? Vipi unapataje posti za march 1 hadi 7?
ReplyDeleterasta kanena hila usijifanye unachonga sana watakunyima zawadi unacheza na bongo!!!
ReplyDeleteKuyumba kwa miezi ya utoaji tuzo kunawatatanisha wasanii, kutaja kalenda tofauti ni kueleweshana, maana hadi sasa haijatamkwa kuwa kalenda ya tuzo imebadilishwa, so far official it's still June to June.
ReplyDeleteWakiwanyima tuzo haijalishi, ubora wa kazi hujionesha. Jamaa miaka mitatu kapumzika kwenye game lakini bado anaongoza kwa idadi ya tuzo miongoni mwa reggae musicians.
rasta Ino kanona,jamani tuambizane basi kama unatumia kitimoto kwa wingi au tuseme ndio pombe ya Ulanzi ya Kihee ikutoe kitambi hivi???we acha tu sie atusemi
ReplyDelete