Home
Unlabelled
MASHINDANO YA VODACOM CLOSING REGGATA 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa Voda baadala wadhamini ligi za mitaani ili waibue vipaji mbalimbali tena ndo kuna wateja wengi kuliko huko kwa hao wadosi wa mashua, maana kwanza wanamshiko, sitaki kuendelea.
ReplyDeleteMdau wa michezo ya kila aina kasoro Mashua!
Hivi wadau mnaelewa kuwa Yatch club wanalimit waswahili kwa kuweka kiwango kikubwa cha membership, yaani kuna wa ubaguzi wa aina fulani ukienda kumejaa wazungu, wametenga hiyo beach kwa ajili ya wazungu tuu. Kaka Michu hebu jaribu kwenda,utatolewa geitini tena wakikuona mswahili wanakwambia bei ya hapa huiwezi wewe nenda Slip way.
ReplyDeleteeheee pale yatch club ukiwa mswahili mlinzi anaanza kukutazama kwa jicho la chuki kama vile umekuja kuharibu starehe za waheshimiwa wake..utasikia `we memba? kama sio memba ondoka haraka! au utasikia hakuna kazi hapa..sijui wanadhani waswahili wote wanaenda kwa ajili ya kutafuta kazi za uhudumu,upishi au ulinzi,..lakini inabidi kuanzisha ya kwetu tuiite WITCH CLUB ngalawa na mitumbwi si ipo jamani,mamalishe wapo,vinywaji vyetu vya asili kama kindi,dengerua,pingu vipo kwa nini tubaguliwe na sisi tuna vyetu....
ReplyDeleteVODACOM ACHENI UTAPELI WA KUTOA SMS TANO ZA BURE KISHA MTEJA ATUMIAPO HIZO SMS MNAKATA SALIO LA MTEJA. PIA MTEJA AINGIAPO KWENYE CHEKA TIME HUWEZA AKAPOTEZA PESA YAKE BILA SALIO KUONEKANA KISHA MNAJIFANYA MMEGUNDUA TATIZO NA KUAHIDI KUMFIDIA LAKINI HAMTIMIZI AHADI, MJUE KUCHUKUA PESA YA MTEJA BILA SABABU ZA MSINGI NI KOSA.
ReplyDeleteYatch club ndio ya wakoloni waliobaki tz
ReplyDeleteNilijua tuu!!
ReplyDelete