Ankal naomba uwarushie wadau mchongo wa nondozi na scholarship kwa wadau wa blog ya jamii. Swedish institute inatoa offer ya sholarship kwa nchi 12, Tanzania ikiwa moja wapo. Watanzania wachache ndio wanaomba hivyo Ankal ipaishe hii habari ili wadau wengi waombe.
Scholarship yenyewe inatolewa kwa Master's level na PhD. mtandao wao ni www.studyinsweden.se
Scholarship yenyewe inatolewa kwa Master's level na PhD. mtandao wao ni www.studyinsweden.se
kupitia hapo unaweza kuona Organization nyingine zinazotoa offer ya scholarship.
Wenu mdau wa Sweden.
Wenu mdau wa Sweden.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...