Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akimkabidhi jana jijini Dar es salaam tuzo ya Shirika la Fedha Duniani(IMF) mfanyakazi wa Shirika hilo tawi la Tanzania Mita Samat kwa kufanya kazi kwa bidii hatimaye kufanikisha mkutano wa IMF ulifanyika hapa nchini mwaka jana.Mtanzania huyo ni mtu wa kwanza kupata tuzo ya shirika hilo.
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo (kulia) akifafanua jambo jana jijini Dar es salaam kwa waandishi wa habari juu makubaliano waliyofikia kati ya Tanzania na uongozi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF). Kushoto ni Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa IMF David Robinson .
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mawaziri kama hawa angalau mtu unaweza kuwafagilia, yaani ni mfano kidogo tu, au kiduchu tu,
    Lakini kama huyu wa Nishati ni bora ajiuzuru maana hii miumeme inayokatika kila mda ni kero sana ukichukulia tumeshailipia na bado wanaleta dharau, mi naona tuungane ili tupate umeme mbadala kama wa Solar na aina nyingine ya nishati mbadala baadala ya maji, na wizara ifutwe na Tanesco ifutwe maana ni kero hawajui wanacho kifanya zaidi ya kusubiri mwisho wa mwezi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...