Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Laurence Masha akimkabidhi Miss Tanzania India Richa Adhia bendera ya Taifa leo ofisini kwake, tayari kwa mlimbwende huyu aliyewahi pia kuwa Miss Tanzania kuelekea sauzi kutuwakilisha kwenye Miss India Worldwide, shindano la urembo linaloshirikisha wsichana wenye asili ya kihindi ila wasioishi nchini India

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. LAST week nilikuwa ninamsifia sana huyu jamaa kwa amejitahidi kukumbia vyombo vya habari sasa tena anatokea na kukabidhi bendera kha!

    ReplyDelete
  2. Miyeyusho tu.

    ReplyDelete
  3. REPRESENT TANZANIA!!!!

    Best Wishes Richa!

    ReplyDelete
  4. Kwa nini haikuwa Membe (Foreign)?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  5. wewe michuzi ukiweka usipo weka huu ni mwaka wa simba simba oyeeeeeeeeeeeee 3kwa 0

    ReplyDelete
  6. Kumekucha

    ReplyDelete
  7. Miss India Worldwide? Kama Tanzania ikishinda mtahitaje? Miss Tanzania India Worldwide? Hii i naonesha kutokuwa patriotism with our country! even minister of states is involved and forgetting about our country!

    Kwanini India tuiweke mbele? Ingekuwa vyema tungeshiriki mashindano mengine yasiyotaja mataifa mengine. Hii ni kuonesha tuko nyuma kiakili na kwamba Marsha alikuwa financial driven to appear on this, may be those responsible sponsors wants him to do so.

    Very Upuuzi!

    ReplyDelete
  8. richa jitahidi ufanye vizuri. si unajua sisi wabongo zetu; mtu akifanya vizuri tupo pamija, akiborongo tutamchamba ajute kuzaliwa.

    ReplyDelete
  9. MnajichanganyaMarch 20, 2010

    Kwa nini asingewakilisha Mhindi kwa kukabidhiwa bendera ya India na balozi wa India Tanzania?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...