Mlezi wa Tanzania Professionals Network (TPN) Dk. Maua Daftari akifungua mkutano mkuu wa TPN uliofanyika kwa mafanikio makubwa leo jijini Dar
washiriki wakijisajili kabla ya kuingia ukumbini
Hello! Tufahamiane jamani - Mimi ni Maez, PR Manager TRL . . . . Kwa nini
tusinunue TRL?
Mimi ni Mzalendo Dr. Vera Ngowi, napiga Chaki Muhimbili University na pia ni Researcher...
Mzalendo Bakuza Katibu Mkuu wa TPN akiwa na Wadau wengine wakifuatilia jambo
huku anasikiliza simy yake . . . "Halooo, unajua hii Black Bell yangu ya
dhahabu haina network huku, network za huku ni tofauti sana na za DC
washngton ambako nilikuwa last week. Yes, nimekuja hapa Blue Pearl . . . No,
noo VX ya 2008 siitumii tena, siku hizi nina Vogue Super Charger . . .
Ndiyo, Nikitoka hapa tuonane Level 8 Kempiski. Kesho nina safari ya Tokyo na
Private Jet yangu . . . ." Haaa haaa hongera Mzalendo Bakuza!
Wazalendo wakifuatilia kwa makini kinachoendelea Kazi na dawa, ni wakati wa chai...
hapa Mzalendo Vava wa Mwanzo park Lodges na
Mlezi Dk. Maua Daftari na Wadau wengine wakipata Chai

Making a Point. Tunataka TPN ifanye makubwa. Hatutaki ife kama "Tanzania
Professionals Centre" anasema Mzalendo Koyi wa Agumba Computers na Chairperson wa Local Investors Forum . . . TPN lazima ianzishe Investment Fund. Ametaka Members wanunue Shares na tuchangie a Minimum of TZS 1 Million - 5 Million . . . .
Mzalendo Golden Kigolla na Dr. Vera wakifuatilia AGM
Wadau wakiwa makini na AGM
Wadau wakiendelea na AGM kwa makini
Eng. Kowero na Dr. David Luhigo wakifuatilia kwa makini kinachoendelea
Rais wa TPN Mzalendo Sanctus Mtsimbe, akiwasilisha Rpoti ya Utendaji ya Mwaka uliopita.
wanachama wa TPN wakiwa makini mkutanoni
Mzalendo Dr. Olomi ambaye ndiye alieendesha AGM akielezea jambo huku
Mzalendo Alex Mkindi Akifuatilia.
Wazalendo Dr. Alex Nguluma na Dr. Hulba Nguluma wakifuatilia AGM
SALAMU MAALUMU TOKA KWA RAIS
WA TPN MZ. SANCTUS MTSIMBE
Wazalendo na Viongozi Wenzangu;
Baada ya mijadala mirefu toka December 2009 na kisha AGM sasa ni wakati wa
kuijenga upya TPN ili kukidhi mahitaji halisi ya wakati.

Katika hili na kama lilivyoongelewa na wengi; TPN iwe na wenyewe ambao ni
active na watakokuwa wanawajibika kwa vitendo. Katika hili tutakuwa na
wanachama wa aina mbili kama katiba ilivyoainisha:

Individuals: Wanataaluma wote waliofuzu na wanafunzi katika vyuo vya elimu
ya juu:

Naomba sasa nipate msaada wa kupata details na contacs za Wanataaluma wote
na pia vyama vya kitaaluma ambavyo tunaweza kufanya nao kazi. Please send
them to me.

Member Category
One Time Registration Fees
Monthly subscription Fees
For Professional Member
50,000.00
10,000.00

For Student Member
10,000.00
5,000.00

Na Corporate Members ikiwa ni Pamoja na makampuni na vyama vyote vya
Kitaaluma. Tafadhali wale viongozi wote wa vyama vya Kitaaluma; Directors wa Makampuni
na viongozi wa NGO's naomba sana mnitumie details.


Corporate Member
100,000.00
Nil

Tafadhali sana naomba kila moja ajaze fomu kwa ufanisi sana na kutuma kwangu
detailed CV kwa ajili ya kuanza kutengeneza database ya wanataaluma kama
tulivyokubaliana. The sooner the better kwani tuna mambo mengi sana ya
kufanya na muda umekwenda. Mijadala mingine ya kuboresha iendelee separately wakati hili la Muhimu pia linafanyika.

Tafadhali tuma waraka huu (forward) kwa Wanataaluma wote unaowafahamu katika mailing list yako na hata wenzio wa ofisini.
Watume details zote kwa:
President@tpn.co.tz

Wasalaam
Sanctus Mtsimbe
President - TPN
Web: www.tpntz.org




















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Patrick TsereMarch 20, 2010

    Pongezi nyingi kwako SANCTUS na TPN. You are doing a commendable job. Msikate tamaa kazeni buti ili TPN iwe tofauti. Chochote mtakachofanya hakikisheni suala la integrity mnalipa top priority. Wale members wenu ambao mnawafahamu wanafanya mambo unproffesionally msiwaonee aibu just censure them. Wewe SANCTUS ni muadilifu ni imani yangu hiyo character yako itaendana na image nzima ya TPN.You people can make the difference if you want.

    All the best in your AGM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...