
Akiwa hapa nyumbani Moody amewahi kupitia vikundi mbalimbali ikiwa ni pamoja na cha Muungano Cultural Troupe chini ya Norbert Chenda, DDC Kibisa chini ya Mama Salma Moshi na pia alipita kundi la Makutano chini ya marehemu Mzee Ghazabu kabla hajaajiliwa na shirika la Bima kama muanzilishi wa sarakasi upande wa Bima Modern Taarab ambapo wakati mwingine kundi la TATUNANE lilikuwa likichukua sarakasi hiyo kwenye maonesho hoteli za New Africa na Bahari Beach.

Pesa inaweza kukufanya mjinga...zile sehemu zote za kutisha wamempa yeye.
ReplyDeleteMdau
London
Mtoto wa Coast, pata 5 nakufagilia. Naona wapangaji wamehama kichwani mwa huyo mpiga boooksi wa Londoni. Fikra zake zinayumbe kiaina hivi. Inabidi tumpepee uuf uuf! labda wapangaji watarudi.
ReplyDeleteMdau, Algeria
Huyo jamaa ni mahiri ndio sababu akapewa sehemu zote zinazohitaji ujuzi na uzoefu ni si kwamba kwa sababu mzaramo basi panda juu ukaanguke,we mdau wa london kazi yako ni nini? inaonekana unapewa kazi za hatari kutokana na kuwa na uelewa mdogo,sijui unafanya `odd jobs` ndio maana kazi za sanaa unaziona za hatari,endelea kukaa uwani ukukwangua masufuria tu huko london!
ReplyDeleteMZAZI.
Mdau Algeria,
ReplyDeleteTuko pamoja tuendelee kuelimisha vijana wanaoleta uhalo wa kauli humu ndani.
Nami nakurudishia 5 ndugu yangu!