Home
Unlabelled
mrisho mpoto na maunda zorro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nice...very nice.mpoto has made it again.this guy is so creative and talented.i am not so sure if he gets what he deserves from his work.au ndio mambo yale ya msambazaji kuendesha hammer msanii na miguu.africa nimeskushindwa
ReplyDeleteBest song ever...!!!
ReplyDeleteacha tu!
ReplyDeletemdau ughaibuni umenena..msambazaji anaendesha hummer,msanii ni mwendo wa daladala au akikomaa sana anaendesha mark II..kaazi kweli kweli.
ReplyDeleteMrisho Mpoto tumekukubali kaka!!
ReplyDeleteTumekusikia.
kinachonifanya nimpende huyu jamaa ni style yake ya kuimba (kama utaita kuimba) lakini pia ni namna anavyozungumzia hali halisi ya maisha ya walala hoi.
ReplyDeleteWadau,
ReplyDeleteHuu ndio ubunifu na HONGERA MPOTO kuilinda sanaa ya Tanzania.Hajaiga wala kuiba hii njia ya kuufisha ujumbe kwa jamii ni kaa kuikuza ngonjera ya Mtanazania hongera sana.
Jamani tusiishie kuyasikia tu bali tuyatendee kazi. Pia tutamsadia huyu kwa kununua kazi zake ikiwezekana sio vochochoroni bali kwenye ofisi hali za kazi za wasanii.
Mwisho nimekusikia MJOMBA, nami nayafanyikazi uliyasema. Siku zote nazikubali kazi za Mjomba.
Pamoja Daima.
Mhigo.
Pacific Northwest.
This guy is bright and talented. I afraid, the common mwananchi might not understand his messages, he should have looked for an alternative audience.
ReplyDeleteHe could as well deliver his message through writing articles and possibly books which could have a wider and long-lasting impact. Our bongo flavour is short-lived and not so many artists are close to his calliber!!
He thinks thoughtfully more than ministers and presidents in africa!
God bless ya!!
Diaspora mnesikia mstari unaowahusu?
ReplyDelete