assalam alaykum jamia,
nimepata shauku kubwa ya kusoma riwaya za kiswahili hasa zenye kutaa'lak na mazingira ya kale, na hasa za mafanani wa Kizanzibari ili kuweza kuudurusu utamaduni wa Mzanzibari. tafadhali unaweza kunisaidia wapi naweza kupata/kununua vitabu hivi, au vyovyote kati ya hivi:
Said Ahmed Mohamed
Babu Alipofufuka
Amezidi
Tata za Asumini
Kitumbua Kimengia Mchanga
Pungwa
Kiza katika Nuru
Kina cha Maisha (nadhani ni mashairi)
Utengano
Si Shetani si Wazimu
Asali Chungu
Dunia Mti Mkavu
Dunia Yao
Muhamed Said Abdulla (Bwana Msa)
Mzimu wa Watu wa Kale
Kisima cha Giningi
Duniani Kuna Watu
Siri ya Sifuri
Mke mmoja Waume watatu
Mwana wa Yungi Hulewa
Kosa la Bwana MSA
Shafi Adam Shafi
Kasri ya Mwinyi Fuad
Kuli
Haini
Vuta N'kuvute
Muhamed Said Muhamed
Kiu
Nyota ya Rehema
natanguliza shukrani zangu kwa msaada wako.
--------------
Hamad Hamad
Copenhagen
nimepata shauku kubwa ya kusoma riwaya za kiswahili hasa zenye kutaa'lak na mazingira ya kale, na hasa za mafanani wa Kizanzibari ili kuweza kuudurusu utamaduni wa Mzanzibari. tafadhali unaweza kunisaidia wapi naweza kupata/kununua vitabu hivi, au vyovyote kati ya hivi:
Said Ahmed Mohamed
Babu Alipofufuka
Amezidi
Tata za Asumini
Kitumbua Kimengia Mchanga
Pungwa
Kiza katika Nuru
Kina cha Maisha (nadhani ni mashairi)
Utengano
Si Shetani si Wazimu
Asali Chungu
Dunia Mti Mkavu
Dunia Yao
Muhamed Said Abdulla (Bwana Msa)
Mzimu wa Watu wa Kale
Kisima cha Giningi
Duniani Kuna Watu
Siri ya Sifuri
Mke mmoja Waume watatu
Mwana wa Yungi Hulewa
Kosa la Bwana MSA
Shafi Adam Shafi
Kasri ya Mwinyi Fuad
Kuli
Haini
Vuta N'kuvute
Muhamed Said Muhamed
Kiu
Nyota ya Rehema
natanguliza shukrani zangu kwa msaada wako.
--------------
Hamad Hamad
Copenhagen
Sheikh unataka kufungua darasa la kiswahili huko?
ReplyDeleteSaleh Washington DC
Vichache kati ya hivyo ulivyovioroshesha utavipata University of Dar es Salaam Bookshop, kwa hiyo kama vipi tafuta mtu akununulie kisha akutumie.
ReplyDeletedah mdau umenigusa???umenipa changamoto nitafute pia
ReplyDeletenaanza pasaka hii!!
uwiii lugha yetu adhimu sana
Wadau, nami naingia kwenye msururu,
ReplyDeletemwenye angalau kuwa na copy zifuatazo: ani sms on 0784236990
Muhamed Said Abdulla (Bwana Msa)
Mzimu wa Watu wa Kale
Kisima cha Giningi
Duniani Kuna Watu
Siri ya Sifuri
Kosa la Bwana MSA
Muhamed Said Muhamed
Nyota ya Rehema
Na moja "Chaguo la Maua"
Hongera sana mdau wa lugha ya Kiswahili kwa tamaa yako njema kudumisha utamaduni wa mswahili.
ReplyDeletena mimi pa nataka kuungana nawe ukifanikiwa au nikifanikiwa tushtuwane; email address yangu mussamussa@hotmail.com
ReplyDeleteWadau kama mnataka vitabu tafadhari tuadikie hapa sisi ni shirika lisilo la kiserikali tunashughulika na mambo ya usomaji kama unataka vitabu visafirishwe mpaka huko kwako baadhi tunavyo hapa
ReplyDeleteunaweza tutembelea website yetu hapa
www.soma.or.tz/ +255754093768
hapa kuna kila kitu na contact address kama unahitaji kuwasiliana na sisi
Natanguliza shukrani
Joachim Homvye