KAMPUNI YA KIMATAIFA YA UHUSIANO,
INATAFUTA AFISA HABARI (PR EXECUTIVE) .
SIFA :
*AWE NA SHAHADA AU STASHAHADA KUTOKA CHUO KINACHOTAMBULIWA NA SERIKALI.
*AWE NA SHAHADA AU STASHAHADA KUTOKA CHUO KINACHOTAMBULIWA NA SERIKALI.
*AWE NA UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA MIWILI
AWE NA UMRI USIOZIDI MIAKA 30.
*AWE NA UWEZO WA KUZUNGUMZA NA KUANDIKA KWA UFASAHA LUGHA ZA KISWAHILI NA KIINGEREZA
*ANAYEJIHESHIMU
KAMA UNA SIFA HIZO,
PIGA SIMU NAMBARI
O767 882250
O767 882250


Kampuni, kama imetoholewa kutoka neno "Company = an organization which sells goods or services in order to make money"
ReplyDeleteHivi kampuni kama hii "KAMPUNI YA KIMATAIFA YA UHUSIANO" itakuwa inajihusha na biashara gani?
hadi leo bongo kuna age discrimination??? lol..mtaishia kudiscriminate wakati nchi nyingine zinasonga mbele...bongo tambarareeee.
ReplyDeleteUmri usizi miaka 30..!! Halafu Watanzania wakijiminya huku nje kupata maisha mnawaona sio wazalendo..!!
ReplyDeleteOle wenu nyie mnafanya ubaguzi Tanzania.
Age Discrimination
ReplyDeleteMDAU UMESHASEMA KAMPUNI NI CHOMBO KINACHOUZA BIDHAA AU HUDUMA SASA UNAULIZA NINI, GOODS OR SERVICES, SASA HII KAMPUNI INAUZA HUDUMA=SERVICES SHULE JAMAA NI MUHIMU.
ReplyDeleteNgoja mimi nijibane humu humu. Nimesota kujisomesha kadegree na kamasta kangu nilikua nahamu sana ya kurudi bongo lakini kama ndio mambo ya kuambiwa umri usizidi miaka 30 namimi by the time nachukua nondo yangu nitakua na umri wa miaka 30 na siku tano.....owiiiii sirudi ng'oooooo
ReplyDeleteWenzenu wanasema ujuzi unauza nyie mnang'ang'ania umri sijui hivi, umri sijui vile akija mtu mwenye qualifications zote na umri umezidi mtamchukua asie na lolote just because yupo kwenye umri unaoutaka....Poleni na fikira zenu za kikoloni poor third world.
Kazi ipo, mtu unaanza shule na miaka 6 (waliobahatika), unapiga kitabu hadi form four ushaguza 18, unakwenda form five and six miaka miwili tayari ushakata 22. unaingia university unajikuta una 25, unajisukuma kupata masters tayari una 26, unarudi nyumbani kutafuta kazi cv kila mahali hadi unapata kibarua una miaka 27/28 utapata wapi experience ya miaka mitatu halafu wakati huo huo unapewa age limit ya kuomba kazi kuwa miaka 30?
ReplyDeleteHii ni age descrimination, kuna nchi tele duniani siku hizi mwajiri hata haruhusiwi kuuliza suali la umri kwa muombaji kazi ili kuepusha ubaguzi wa umri.
umuhimu wa ajira ni work experience na ujuzi sio umri.