Home
Unlabelled
opening of diaspora 2 conference in london today
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal, nimeshuhudia watu wote wanaohudhuria hiyo Diaspora wamevaa nguo mpya za kutoka dukani, ingawa sina uhakika na hiyo uliyovaa wewe.
ReplyDeleteSometimes we need to be serious! Inawezekana vipi watu waliopewa kuongoza kuimba wimbo wanashindwa kuimba hata wimbo wa taifa? Hawakuweza kufanya hata mazoezi kweli? Then tunasema tuko patriotic na Diospora Conference itakuwa ya mafanikio! I don't think so, unless we undo this kind of ignorance, we'll always be stack!
ReplyDeleteKuna lolote jipya hapa au zaidi ni kupoteza hela za walipa kodi maskini wa Tanzania kwa kuwapa watu Per diem.
ReplyDeletegreat job Michu.Keep it up
ReplyDeleteMalisa BG
SasA mbona John Mashaka haimbi? Au ndo hajui Kiswahili basi si aimbe kwa kiingereza? Wabongo bwana. Anavaa tubsuti mpya lakini kuomba hawezi.
ReplyDeleteNaungana na mtoa maoni wa pili hapo juu.
ReplyDeleteNi kweli lazima tujiulize kuna lolote jipya kwenye huo mkutano. Tumeshuhudia viongozi wa Tanzania wakiende nchi mbalimbali za nje na walkifika huko huwa wanapata fursa ya kukutana na watanzania wanaoishi huko na kuzungumza mambo mbalimbali ya nchi na jinsi gani watanzania wanaoishi nje wanaweza kusaidia kuleta maendeleo zaidi.
Sasa hii ya kuchukua watu kibao wa serikali na binafsi kwenye London sijui ni nini kipya kinafanyika.
Kwanza watanzania wanaoishi nje ya Tanzania wako wengi sana na wanaishi nchi mbali mbali dunia nyingi za Ulaya, Amerika, Asia, Africa, Austrialia na sehemu zingine kama zipo. Sasa kusafirisha watu wengi mpaka London sijui kama itasaidia sana kwani hii ni sehemu moja tu duniani kati ya nyingi ambazo watanzania wanaishi.
Kuna sababu gani za msingi kufanya mkutano huu London? Kwa nini usifanyiwe Kampala, Nairobi, Cape Town au Kigali?
Viongozi angaliane jinsi ya kutumia hela za kodi vizuri. Sio kuwapa watu Per diem wakati watanzania wana matatizo chungu nzima ambao yanahitaji hizo hela.
Tuwape Cr. hata kwa kuandaa tuu maana hatujawahi kuwa na vitu kama hivi tusiwe tunakosoa kila kitu waache wajaribu na ndivyo watakavyoweza kurekebisha kasoro zao. Makosa hayarekebishwi kwenye ndoto bali kwa vitendo. Nafikiri wako kwenye muelekeo sahihi.
ReplyDeleteMimi tatizo liko pale pale kwanini hii isingekuwa kwa the ALL EUROPE?, kama viongozi wote wamepanda ndege mmeshindwa kumobilize watanzania wote waishiao nchi za Ulaya kukutana?? sasa Italy tukifanya yetu holland wakifanya na ujerumani pia tutasafirisha watu hivyo hivyo??...
ReplyDeleteTatizo lack of coordination, balozi za Ulaya nyingi ziko tuu lakini kama . kuna watu uku wamesha kata tamaa na Tanzania na mimi mmoja wapo ni ufinyu wa kufikiri tuu... sasa hapo watu mia kutoka tanzania wanakutana na watu sabini waishio UK.
Michuzi, nafurahi sisi ambao tumeshindwa kufika tumeshuhudia video. Ila si makosa kuchukua video wakaati wa wimbo wa taifa? enzi Mwalimu mgambo si wangukula kiatu baada ya hapo? nimemuona JK au la? kam ndiye basi mmechemsha kutosema mapema. Last diaposra mlisema anakuja watu wakaja kibao. Leo hii mmeficha naona mmeumbuka maana vitu bvingi viko wazi. watu wangeacha shift na kuja kumsikiliza mkuu wa nchi. kazi yako nzuri ya kutufuhamisha kitu gani kinaendelea..weka picha zaidi kadri mkutano unaoendelea
ReplyDeletemichuz kwanza ninakupa thank u sana tu kwa kua apo na kutuwekea hii kitu mimi leo nilikua nikuwepo hapo lakini Box u know so kwa wale wote ambao hawajui nini maana ya huu mkutano bora wawe wanauzuria mikutano ya miji yao ili kujua kwa mie inaasaidia sana tu na itasaidia nchi yetu kwa kipao kikubwa tu.
ReplyDeleteMichuzi hujatulia, hiyo cleavage ya huyo mlimbwende mbona umeikodolea hivyo? Watu wamevaa watanashati1wazuri!
ReplyDeleteacheni wizi,ingekuwa sirikali yetu bora watu wasingekimbilia nje ya nci on the first place anyway... Amani
ReplyDeleteTukija nyumbani hata kutufungulia account hamtaki.
ReplyDeleteWaste of time and money
Kelele, fujo, aibu yaani uwezi kuelezea, mtu ukiwapo hapo kwa zaidi ya dk5 ni lazima upate na ukichaa hapo hapo, wale wote waliokuwapo hapo mnabidi mkamuona daktari kwa jinsi hizo kelele zilizokuwepo.
ReplyDeleteHamna kipya kilichotokea zaidi ya kuzungumza vitu vile vile kama miaka iliyopita. Ni vizuri kama watu wangekuwa wanakutana na kujadiri ni kitu gani kimefanyika tangu mara ya mwisho kukutana ktk mkutano na kipi kifanyike ktk mkutano wa sasa na sio kujionesha kwa kuvaa suti mpya na kuuza sura tu for nothing.
Michuzi if you do believe in democracy and freedom of speech then you will need to publish this comment.
Many thanks.
Mtanzania
WATU WAZIMA MSILETE UJINGA KAMA WA US-BLOGGA HAPA. YULE MTU NI MPUMBAVU SANA. KAZI YAKE NI KUTAFUTA UMAARUFU KWA KUWATUKANA WENZIE, YEYE KILA SEHEMU ANAPOSTI COMMENTS KUMKASHIFU RAIS NA MASHAKA J . KAMA ANATAKA BASI TUMUUNGANISHIE AOLEWE NA MASHAKA
ReplyDeleteviti vingi viko wazi wapi wapiga box jamani? na hiyo nyimbo ya taifa mmeivutaaa kama mlenda hivi ni mapozi au mlikuwa na njaa??
ReplyDeleteMichuzi achana na huo upuuzi njoo tule bia reading kabla viza yako haijaexpaya then urudi zako dailinyuzi ukawajibike.Hii sio karne ya kuleteana blabla tushachoka na uozo uliopo TZ au wanafikiri hatuoni? Wanataka kutupiga changa la macho mpaka huku?! na kwa taharifa yao hamtupati NG'O.
ReplyDeletemdau wa reading umeniacha hoi nimejichekea tuu basi lol!
ReplyDelete