Trailer of £ovely Gamble, a soon coming film to your small and big screens starring Steve Kanumba geared towards your maxmum entertainment. Brought to you by Urban Pulse Media with Afro Euro Management Enterprises...

WATENGENEZAJI WA SINEMA MPYA YA KISWAHILI NA KIINGEREZA “LOVELY GAMBLE” WAMEWAFAFANULIA WABONGO UINGEREZA KWAMBA SHEREHE ITAKAYOFANYIKA READING JUMAMOSI TAREHE 13 NI MATAYARISHO KABAMBE YA SINEMA HIYO.

KWA KIINGEREZA “PRE- LAUNCH PARTY” INA MAANA PATI LA KUWATAYARISHA WATAZAMAJI KUONA SINEMA ITAKAYOTOKA BAADAYE. PATI HII ITAENDESHWA NA MUZIKI WA MADJ NA WASANII VIJANA MBALIMBALI TOKA UINGEREZA NA NCHI MBALIMBALI.

KATI YA MADJ NA WASANII HAWA NI DJ RICHIE TOKA BONGO, MC MOSEH, FLY GEEZ, DJ JUICE NA DAMUS. NYIMBO ZA SINEMA NA MUZIKI BAB KUBWA VITACHEZWA KATIKA UKUMBI WA “FACE CLUB” KUANZIA SAA NNE USIKU HADI SAA KUMI ALFAJIRI.

“£OVELY GAMBLE” PRE LAUNCH PARTY
10 PM- 4.00 AM, SAT 13th OF MARCH 2010

@THE FACE CLUB
AMBROSE PLACE
CHATHAM STREET
READINGR

G1 7JE


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...