Home
Unlabelled
samsung miss tanzania india richa adhia aagwa rasmi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Namzimika sana huyu dada, natamani kutanga ndoa naye sema sijui jinsi ya kumpata wadau nipeni DATA zake.
ReplyDeletehahahaha wabongo mmechanganyikiwa hamna wabongo wenzenu looooooooo chagueni wabongo wenzenu mbona hamtuwekei aloshindana nao tuwaoneeeeeeeeeee.
ReplyDeleteBrother Michu.... kama huna la kutuhabarisha toa blogu hewani.. haina maana hii.... Tumechoka kutawaliwa na wahindi katika kila fani ya maisha ya Mtanzania..... na wewe kukaa na kutukumbusha kila wakati kuwa nchi ni yao ... Inauma! inaudhi! inakera! inatoa imani! uipublish tafadhali....
ReplyDeleteNi kweli dada ni mzuri hata hivyo nakushauri ule kwa macho tu kwani jamaa yake ni mnyanyua vitu vizito na ngumi zake zinauma si kawaida.
ReplyDeleteUshauri wa bure.
Mdau
bado hamjakoma tu... si ndio mikiki hii mliomfanyia hashim? haya kikwapi? waacheni hawa watu watuletee aina fulani ya ushindi manake akishindwa huko anarudi tu na "AIBU" naona mnawapa vichwa bure.
ReplyDeletemdau wa Fri Mar 19, 01:13:00 AM
ReplyDeleteMBONA UNA WIVU HIVI? wakati wetu utafika unapaparika nini? Hii ni michuzi blog kama unaona hutaki kutizama news nenda kwingine, kunazo nyingi sana ila sie wengine tulio mbali na bongo kamichu anatusaidia sana na hii CNN ya africa.
Go michuzi go
Wabongo kila wakionacho...!!. Ukweli ni kuwa huyu dada hana uzuri wa muonekano kiihivyo kama "Fan/hacker wetu" wa mtaa wa jirani, ila ana uzuri wa ndani/heshima/selfrespect/sense of humor and well focused with really world life.Ni miss Tanzania pekee amabye hajakumbwa na kashifwa nzito nzito in Tanzanian history of misses.Big up sister.
ReplyDeleteMdau.
USA.
Huyu ni Msatafa Hassanali au macho yangu...????!!. Ummm...lol...!! Mbona anazidi kutisha wajameni.What type of diet is this...???!!. Gym au...??!!. Wow.
ReplyDeleteHIYO COMMENT YA ANONYMOUS 1:13:00 INAUMIZA! INAUDHI! INAKERA! KWA SABABU HE IS NO DIFFERENT THAN IDDI AMIN DADA AU WAKABURU'S OF SOUTH AFRICA IN REVERSE...IF YOU DO NOT LIKE US WAHINDI'S KICK US OUT OF TANZANIA...WASH YOURSELF OF INDIANS. IT WAS PEOPLE LIKE YOU WALIOSABABISHA KILLINGS IN RWANDA...YOU REALLY ARE RACIST...muhindimaskini...MDAU CANADA
ReplyDeletedada huyu alitutangaza vibaya watanzania wabaguzi KATKA VYOMBO VYA HABARI MTONI sasa kafika HUKO KAKUTANA NA WAFAHIDHINA WA KIZUNGU AKAJUA BORA BONGO NAONA KARUDI BONGO WACHA WAZUNGU WAENDELEE MAAANA NI WATATA KWELI NA NCHI ZAO NA WANAJUA UKIMCHEKEA NYANI SHAMBANI UNAVUA MABUA
ReplyDeleteanonymous hapo juu shika adabu yako. Kwa nini una wa ona hawa jamaa hivyo? Kwa kweli unachuki mbaya na wahindi...lakini ujue kwamba all wahindis are not the same..wako wengi wana heshima and wana follow sheria ya nchi hiyo. Kuna matatizo gani na MaShivjis, Mo Dewjis and many more who have given their life for this country...acha matatizo and respect all...God bless Multicultural Tanzania...
ReplyDeleteWadau wa March 19, 12:58:00 AM na 01:13:00 AM mmepofoka kwa ubaguzi. Nyie ni wabaguzi wa rangi period. Hawa wahindi kama wanawatawala ni uzembe wenu lakini kwa huyu dada ni mtanzania na anahaki zote kama mtanzania mwingine. Kama TZ bado inawajinga kama nyie, hatufiki popote, KALAGABAHO!
ReplyDeleteWhat in God's name is Miss Tanzania India? Wanashindana wahindi watupu. Halafu huyu dada anafanya umiss as a profession nini? Hii ni mara ya tatu. Mtafutieni Ajira jamani...
ReplyDeleteHalafu we mdau wa USA, hiyo self respect wewe umeijuaje, inaonekana usoni? Unasema mamiss wetu wa kibongo wa skandali, uoni hata aibu ku take words of tabloids to heart...hao wa tabloids, wenyewe they are so corrupt hadi aibu, ukute wanawatamani hao watoto wa watu...
huyo ni mustafa au??????????????????? mh, ni Diet ya aina gani jamani?
ReplyDeleteAcheni majungu na ubaguzihuyu ni mtanzania mwenzetu, ndo maana hamuendelei mnaangalia rangi. Na hizi comment chafu lazima zitakuwa ni za mamiss fulani, mbona huyu miss mi namuona anajiheshimu sana kuliko hao mnaowasifia? Wenzetu US wanaangalia commitment na ndio maana wakamchagua Obama, au mnafikiri yule ni Mwafrika mwenzetu? Acheni ushamba
ReplyDeleteWadau me naomaba nitoke nje ya Topic Kidogoo!hivi jamani huyu Mustapha Hassanali kunani?mbona amekonda saaana!au macho yangu!au ndio diet au?
ReplyDeleteUKWELI UTABAKI TU KUWA UKWELI HATA KAMA UTAUFICHA, WAHINDI NI WABAGUZI NA HATA UKIONA SHULE ZAO ZILIZOPO HAPA ZINAMAJINA YA KWAO TUNAYO INDIAN SCHOOL NDANI YA DAR ES SALAAM! DELHI SCHOOL NDANI YA DAR NA WALIMU WATANZANIA HUBAGULIWA KWA KILA KITU. MHINDI ATABAKI KUWA MHINDI HIVYO NDIVYO WANAVYOFUNDISHWA.
ReplyDeleteDu. mimi yote 9, 10 ni huyoooo Mustafa, hata kama ni diet hii kiboko. Du, kila siku anazidi kupungua, atupe siri ya mafanikio.
ReplyDeleteMustafa ana diet ya Kichina hiyo imeshatua ndani ya BONGO
ReplyDeleteMdau wa diet....