Balozi wa India Nchini Tanzania Mh. K.V Bagirath (wa pili shoto) akiwa katika picha ya pamoja na Samsung Miss Tanzania India Richa Adhia wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika usiku huu nyumbani kwa balozi Oysterbay jijini Dar. Richa Adhia anaondoka jumapili kwenda nchini Afrika Kusini kushiriki kwenye shindano la Miss India Worldwide litalofanyika katika jiji la Durban Machi 27. Hii ni mara ya kwanza kwa Mtanzania mwenye asili ya india kushiriki katika shindano hilo lililoanzishwa mwaka 1990. Pili kulia ni mbunifu wa mavazi Mustafa Hassanali na mfanyabiashara mashuhuri jijini Dar, Kiltda Patel
Balozi wa India Nchini Mh. K.V Bhagirath (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Samsung Miss Tanzanian India (wa tatu kushoto) pamoja na maafisa wengine wa ubalozi wa India nchini na waratibu wa Samsung Miss Tanzania India pamoja na wageni waalikwa katika hafla ya kumuaga mrembo huyo iliyofanyika nyumbani kwa balozi. Oysterbay jijini Dar usiku huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Namzimika sana huyu dada, natamani kutanga ndoa naye sema sijui jinsi ya kumpata wadau nipeni DATA zake.

    ReplyDelete
  2. hahahaha wabongo mmechanganyikiwa hamna wabongo wenzenu looooooooo chagueni wabongo wenzenu mbona hamtuwekei aloshindana nao tuwaoneeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  3. Brother Michu.... kama huna la kutuhabarisha toa blogu hewani.. haina maana hii.... Tumechoka kutawaliwa na wahindi katika kila fani ya maisha ya Mtanzania..... na wewe kukaa na kutukumbusha kila wakati kuwa nchi ni yao ... Inauma! inaudhi! inakera! inatoa imani! uipublish tafadhali....

    ReplyDelete
  4. Ni kweli dada ni mzuri hata hivyo nakushauri ule kwa macho tu kwani jamaa yake ni mnyanyua vitu vizito na ngumi zake zinauma si kawaida.

    Ushauri wa bure.
    Mdau

    ReplyDelete
  5. bado hamjakoma tu... si ndio mikiki hii mliomfanyia hashim? haya kikwapi? waacheni hawa watu watuletee aina fulani ya ushindi manake akishindwa huko anarudi tu na "AIBU" naona mnawapa vichwa bure.

    ReplyDelete
  6. mdau wa Fri Mar 19, 01:13:00 AM

    MBONA UNA WIVU HIVI? wakati wetu utafika unapaparika nini? Hii ni michuzi blog kama unaona hutaki kutizama news nenda kwingine, kunazo nyingi sana ila sie wengine tulio mbali na bongo kamichu anatusaidia sana na hii CNN ya africa.

    Go michuzi go

    ReplyDelete
  7. Wabongo kila wakionacho...!!. Ukweli ni kuwa huyu dada hana uzuri wa muonekano kiihivyo kama "Fan/hacker wetu" wa mtaa wa jirani, ila ana uzuri wa ndani/heshima/selfrespect/sense of humor and well focused with really world life.Ni miss Tanzania pekee amabye hajakumbwa na kashifwa nzito nzito in Tanzanian history of misses.Big up sister.

    Mdau.
    USA.

    ReplyDelete
  8. Huyu ni Msatafa Hassanali au macho yangu...????!!. Ummm...lol...!! Mbona anazidi kutisha wajameni.What type of diet is this...???!!. Gym au...??!!. Wow.

    ReplyDelete
  9. HIYO COMMENT YA ANONYMOUS 1:13:00 INAUMIZA! INAUDHI! INAKERA! KWA SABABU HE IS NO DIFFERENT THAN IDDI AMIN DADA AU WAKABURU'S OF SOUTH AFRICA IN REVERSE...IF YOU DO NOT LIKE US WAHINDI'S KICK US OUT OF TANZANIA...WASH YOURSELF OF INDIANS. IT WAS PEOPLE LIKE YOU WALIOSABABISHA KILLINGS IN RWANDA...YOU REALLY ARE RACIST...muhindimaskini...MDAU CANADA

    ReplyDelete
  10. dada huyu alitutangaza vibaya watanzania wabaguzi KATKA VYOMBO VYA HABARI MTONI sasa kafika HUKO KAKUTANA NA WAFAHIDHINA WA KIZUNGU AKAJUA BORA BONGO NAONA KARUDI BONGO WACHA WAZUNGU WAENDELEE MAAANA NI WATATA KWELI NA NCHI ZAO NA WANAJUA UKIMCHEKEA NYANI SHAMBANI UNAVUA MABUA

    ReplyDelete
  11. anonymous hapo juu shika adabu yako. Kwa nini una wa ona hawa jamaa hivyo? Kwa kweli unachuki mbaya na wahindi...lakini ujue kwamba all wahindis are not the same..wako wengi wana heshima and wana follow sheria ya nchi hiyo. Kuna matatizo gani na MaShivjis, Mo Dewjis and many more who have given their life for this country...acha matatizo and respect all...God bless Multicultural Tanzania...

    ReplyDelete
  12. Wadau wa March 19, 12:58:00 AM na 01:13:00 AM mmepofoka kwa ubaguzi. Nyie ni wabaguzi wa rangi period. Hawa wahindi kama wanawatawala ni uzembe wenu lakini kwa huyu dada ni mtanzania na anahaki zote kama mtanzania mwingine. Kama TZ bado inawajinga kama nyie, hatufiki popote, KALAGABAHO!

    ReplyDelete
  13. What in God's name is Miss Tanzania India? Wanashindana wahindi watupu. Halafu huyu dada anafanya umiss as a profession nini? Hii ni mara ya tatu. Mtafutieni Ajira jamani...

    Halafu we mdau wa USA, hiyo self respect wewe umeijuaje, inaonekana usoni? Unasema mamiss wetu wa kibongo wa skandali, uoni hata aibu ku take words of tabloids to heart...hao wa tabloids, wenyewe they are so corrupt hadi aibu, ukute wanawatamani hao watoto wa watu...

    ReplyDelete
  14. huyo ni mustafa au??????????????????? mh, ni Diet ya aina gani jamani?

    ReplyDelete
  15. Acheni majungu na ubaguzihuyu ni mtanzania mwenzetu, ndo maana hamuendelei mnaangalia rangi. Na hizi comment chafu lazima zitakuwa ni za mamiss fulani, mbona huyu miss mi namuona anajiheshimu sana kuliko hao mnaowasifia? Wenzetu US wanaangalia commitment na ndio maana wakamchagua Obama, au mnafikiri yule ni Mwafrika mwenzetu? Acheni ushamba

    ReplyDelete
  16. Wadau me naomaba nitoke nje ya Topic Kidogoo!hivi jamani huyu Mustapha Hassanali kunani?mbona amekonda saaana!au macho yangu!au ndio diet au?

    ReplyDelete
  17. UKWELI UTABAKI TU KUWA UKWELI HATA KAMA UTAUFICHA, WAHINDI NI WABAGUZI NA HATA UKIONA SHULE ZAO ZILIZOPO HAPA ZINAMAJINA YA KWAO TUNAYO INDIAN SCHOOL NDANI YA DAR ES SALAAM! DELHI SCHOOL NDANI YA DAR NA WALIMU WATANZANIA HUBAGULIWA KWA KILA KITU. MHINDI ATABAKI KUWA MHINDI HIVYO NDIVYO WANAVYOFUNDISHWA.

    ReplyDelete
  18. Du. mimi yote 9, 10 ni huyoooo Mustafa, hata kama ni diet hii kiboko. Du, kila siku anazidi kupungua, atupe siri ya mafanikio.

    ReplyDelete
  19. Mustafa ana diet ya Kichina hiyo imeshatua ndani ya BONGO

    Mdau wa diet....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...