Home
Unlabelled
shughuli ya kutunish mfuko waq kinamama wa kitanzania leicester
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
habari kaka michuzi, tunakuomba tangazo hili taarifa zake si za kweli.
ReplyDeleteHawa watakuwa CCM tu mama yangu wanataka kuwaibia watu gani tena.
ReplyDeleteanyway tukubali matokeo
Ila nawashauri vijana wenzangu tupige kazi nchi yenyewe ndio hii inakokwenda sio lakini hatuna uwezo wa kusema TUNAKOPELEKWA HATUTAKI.
By Mkereketwa - Kisutu
Duh hii bendera yetu inabadilishwa kila siku.Kwanza hiyo rangi ya bluu sio sahihi.Watu wanashindwa kufuatia Details za libendera letu, angalia bendera za nchi nyingine ambavyo hazikukosewa iweje yenu mkaifanyia mtima nyongo?Pili kijani yatakiwa iwe juu hapo.
ReplyDeleteHata huyo designer wa hii bendela pia aliyeweka ana maana yake wewe hujui kwamba bongo tambalare.
ReplyDeleteAtakula wapi Full Ufisadi
Jamani nyumbani kwetu tz noma
any way tufanye kazi vijana taifa ambalo litaijenga hii nchi bado sanaaaaaaaaaaaa
Na nyie watumwa huko ugaibuni fikirieni kwenu
By Mdau - Kisutu
watumwa ni nyinyi mnaopata umeme wa mgao maji ziii !!!
ReplyDeletejama jama huu ni ufisadi full stop..mfuko wa nini tena. watu pigeni box mjikomboe,hakuna wa kuwatunishia mfuko wenu hapa..
ReplyDeletehalafu bendera yetu iko juu chini sijui designer wa kichina..kwi kwi kwii.