Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. habari kaka michuzi, tunakuomba tangazo hili taarifa zake si za kweli.

    ReplyDelete
  2. Hawa watakuwa CCM tu mama yangu wanataka kuwaibia watu gani tena.

    anyway tukubali matokeo

    Ila nawashauri vijana wenzangu tupige kazi nchi yenyewe ndio hii inakokwenda sio lakini hatuna uwezo wa kusema TUNAKOPELEKWA HATUTAKI.


    By Mkereketwa - Kisutu

    ReplyDelete
  3. Duh hii bendera yetu inabadilishwa kila siku.Kwanza hiyo rangi ya bluu sio sahihi.Watu wanashindwa kufuatia Details za libendera letu, angalia bendera za nchi nyingine ambavyo hazikukosewa iweje yenu mkaifanyia mtima nyongo?Pili kijani yatakiwa iwe juu hapo.

    ReplyDelete
  4. Hata huyo designer wa hii bendela pia aliyeweka ana maana yake wewe hujui kwamba bongo tambalare.

    Atakula wapi Full Ufisadi

    Jamani nyumbani kwetu tz noma
    any way tufanye kazi vijana taifa ambalo litaijenga hii nchi bado sanaaaaaaaaaaaa

    Na nyie watumwa huko ugaibuni fikirieni kwenu

    By Mdau - Kisutu

    ReplyDelete
  5. watumwa ni nyinyi mnaopata umeme wa mgao maji ziii !!!

    ReplyDelete
  6. jama jama huu ni ufisadi full stop..mfuko wa nini tena. watu pigeni box mjikomboe,hakuna wa kuwatunishia mfuko wenu hapa..

    halafu bendera yetu iko juu chini sijui designer wa kichina..kwi kwi kwii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...