Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma (kulia) akifafanua jambo mbele ya Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya FreshWay Solutions, Bi. Veronica Hiza akiwa na Mkurugenzi mwenza David Hiza mara baada ya kukabidhiwa cheti chao cha mawasiliano
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya FreshWay Solutions, Bi. Veronica Hiza cheti cha mawasiliano jana mchana akiwa ameambatana na Mkurugenzi mwenza Bw. David Hiza. Hafla hiyo imefanyika leo katika ya jengo jipya la Makao makuu ya Mamlaka hiyo barabara ya Sam Nujoma road jijini Dar.

Wewe michuzi unajua mimi nimekuwa najiuliza siku nyingi sana kwanini jina la 'Muhidini Issa Michuzi' hulitumiiiiiii? Jina la wakati wa Kingo, na jamaa mwenye mdomo mkuba na masikia makubwa alikuwa ananitwa NIPASHEEEE!
ReplyDeleteMdau wa Fiber
Msaka naona mashavu yamekutoka...bia kwa nyama eehh!!!!!!!!!
ReplyDeleteWow, Vero na Msaka! Hongereni sana kwa ujasiriamali!
ReplyDeletewadau wa minnesota..hongereni!!
ReplyDelete