hapa ni katika mtaa maarufu wa oxford street jijini london hapa ukerewe, ambapo hali inaonesha ni mvua mvua kutwa nzima. kiwinta kimepungua kwani leo ilikuwa inagota nyuzi joto 13. nasikia si muda mrefu uliopita mambo yalikuwa nyuzi joto hadi 11 minus. wanaoweza kututafsiria hii msaada tutani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hiyo si wanaita hasi... negative is hasi in swahili...

    ReplyDelete
  2. Ole wako ankal kama umeenda na kafulanaz peke yake ukifikiri kwamba fukuto la bongo limetambaa mpaka UKe-rewe!

    ReplyDelete
  3. Du, kumbe wadhungu nao washea mwanvuli?

    ReplyDelete
  4. Mbona Hatuongelei ukame na njaa ya kweli ndugu zetu wa Ukerewe walinayo baado ya mazao you kupatwa na ugionjwa mbaya?

    ReplyDelete
  5. ankali...hapo ni oxford circus sio street.....ankali acha uoga..usibane hii...mbeba box wa kutumainiwa kutoka pande za barking hapa

    ReplyDelete
  6. Ankal Mbona HABARI ZA BONGO HUZITOI LILE ROLI LIMEUWA NA BASI MOJA LIMEPATA AJALI HUKU A-TOWN HUJATOA HABARI, NANI ANATAKA HIZO ZA BARIDI YA UKEREWE TUPE KWANZA ZA HUKU HOME NA INAITWA NYUZI JOTO 11 hasi (kutoa) si unakumbuka Hasi na Chanya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...