Wahapahapa Live on stage video
Bendi ya Wahapahapa inayopiga muziki wa kisasa wenye vionjo vya kitamaduni usiku huu imezindua maonesho ya 'Siku ya Mwafrika' ya kila alhamisi katika kiota cha maraha cha Runaway Longe kilichopo ghorofa ya pili ya jengo la Shopper's Plaza jijini Dar. Aina ya muziki unaopigwa na bendi hii umebatizwa jina la “TanzRock”, na hili ndilo jina pia la albamu yao ya kwanza. Hakika Muziki wao umetulia kama kilivyo kiota chenyewe. Kiingilio mguu wako...
wakongwe Teddy Mbaraka (shoto) na Paul Ndunguru kazini
ni mkia-jogoo wa ngoma za kiasili na nyuzi bin nyuzi za kisasa
pakasheni za kufa mtu
wadau wakijirusha usiku huuUkitaka kujua mengi juu ya Wahapahapa
BOFYA HAPA


i love these dudes kumbe ndo nyie?
ReplyDeletekuna tangazo la wimbo fulani ivi anaimba pia mdada ana sauti balaa,ithink ni kipindi cha kuigiza kile redioni ule wimbo mzuri sana nilisema hii bend lzm niione cku duh niko mbali.
ngoja nisome iyo mayb ntapata mahali wanapouza kanda zao nazihitaji sana
wimbo:
wahapahapax5ukitaka wa kuuchezane,ukitaka wakuruka nae wahapahapa
tilili lili tilililix2wahapahap