Ankal,
Tafadhari post hizi scholarships kwa wadau.
Anayetaka kuomba abofye link hiyo
hapo chini na afuate maelekezo
Asante.
http://www.fordifp.net/AboutIFP/WhoCanApply/tabid/64/language/en-US/Default.aspx
Asante.
http://www.fordifp.net/AboutIFP/WhoCanApply/tabid/64/language/en-US/Default.aspx


Unajua Michuzi UNAKERA sana tunapokuta hizo "LINK" hazipo active.
ReplyDeleteMdau aliyetoa maoni hapo juu amekosea sana, huwezi kumwambia mwenzio anakera sana jaribu kutumia hakima katika kukosoa, copy hiyo link kisha fungua page mpya itafunguka, nasema hivi ninauhakika itafunguka mie ndio naangalia sasa hivi.
ReplyDeleteKwa faida ya wengine.. kwa hapa Tanzania hii scholarship huwa inasimamiwa na Economic and social Research Foundation (ESRF) ofisi yao ipo maeneo karibu na Victoria, ila deadline ya kutuma maombi kupitia ofisi hiyo ilikuwa 16 Februari 2010. Angalia: www.esrftz.org/ifp/announcements_2010_11.asp
ReplyDelete