Juu na chini ni Walimu wa mchezo wa mbio za Baiskeli wakiwa wanapewa mafunzo ya vitendo katika uwanja wa Soweto jijini Arusha na kocha kutoka katika timu ya taifa ya Uingereza Richard Shepherd (wa pili kuume) ambaye ameletwa nchini kwa ajili ya kozi hii na chama cha mchezo wa baiskeli dunia kwa kushirikiana na kamati ya Olimpiki Tanzania(TOC) Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mnatafuta kutengeneza mabusha artificial kwa bara bara gani hasa mtaendesha hizo baiskeli?\lakini kwa kuwa opesheni ya hivyo vibaluni ni bure mjitahidi.
    MZAZI CHOPANGA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...