Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mohammed Seif Khatib na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Kiongozi Hamza Hassan Juma Wakimsikiliza Mkurugenzi wa Utafutaji Uzalishaji Kitalamu Uchimbaji wa Mafuta kwenye kituo cha TPDC Upanga Bw Halfani Halfani Wakati walipokuwa na Ziara ya Kutembelea Ofisi za Muungano Mjini Dar Waziri wa Nchi Ofisi ya Wa ziri Kiongozi Hamza Hassan Juma
akiuliza jambo Kuhusu Masuala ya Umeme Kwenye Kituo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Kiongozi Zanzibar Hamza Hassan Juma (pili shoto) akipata Maelezo kwa Mjiofizilia Mwandamizi Utafiti wa Mafuta na Gesi asili Bw Kelvin Komba Wakati alipotembelea Kituo cha Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) Kwenye Jengo la Benjamini Mkapa jijini Dar.Picha na mdau Ali Meja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mheshimiwa wakupeleke na wanakochimba dhahabu na almasi na madini mengine.haya akili kichwani mwako

    ReplyDelete
  2. Wajinga ndio waliwao

    By Ahmada Faki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...