Mshambuliaji wa Yanga, Idd Mbaga (shoto) akichuana na beki wa Moro United, Stephano Mwasika katika mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar.
Yanga imeshinda 3-0.
Beki wa Moro United, Stephano Mwasika (shoto) akichuana na mshambuliaji wa Yanga, Idd Mbaga katika mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar. Yanga imeshinda 3-0 Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamaa ni "mafundi" sana ktk ligi ya nyumbani, ikija timu kutoka nje hata kama ni ndogo ulimi nje. Ilikuja Libya, Lupopo na wengine yebo wakabanjuliwa. Kulikoni wanacheza nyumbani tu?

    ReplyDelete
  2. hata kama mngeshinda magoli 100 nafasi ni hiyo hiyo ya pili. wenye kombe hao zimbabwe kuangalia ile ligi yetu ambayo yebo yebo hamuiwezi. nyie yebo yebo sumbukeni tu na mara manyema mara lipuli ngoja sisi tufanye majukum ya kimataifa

    ReplyDelete
  3. madega basi. Hatukutaki tena.
    by mwanyika

    ReplyDelete
  4. Ankal, Simba imechukua ubingwa, hujaanika cha maana, leo Yanga imeshinda mechi isiyo na maana yoyote unaianika! Acha hizo! Hii ni wiki ya wana Simba, weka mambo hadharani ya ushindi wao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...