ankal akiamkiana na mwambata jeshi ubalozini London Kanali Pregrin Mrope alikotembelea hapo leo
Afisa kutoka ubalozi wetu UK Amos Msanjila (kati) akiwapokea maafisa Bw. David Shambwe na Miranda Rutege wa Commercial Bank of Africa ya jijini Dar ambao wametua leo Ukerewe kuhudhuria kongamano la Diaspora 2.

Ankal akiwa na Mkuu wa Utawala na Fedha ubalozini kwetu UK, Bi. Caroline Chipeta na Mwambata wa utawala ubalozini Bw. Clement Kiondo wakipitia rartiba ya libeneke la Diaspora 2
Ankal akiwa na mdau wa Diaspora 2 kutoka Dar
ankal akiweka oda ya nanihii alipokuwa transit dumila na nanihii






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Nimeuliza siku nyingi lakini sijibiwi. Diaspora ni mji gani huko uingeleza? Ndo huko nabii John mashaka anakoishi?mbona picha yake sijaiona kwa maana nadikia Jon mashaka ndiye lais wa wostriti ya huko melekani ya kwa Obama. Nama usibanie comenti yangu , Mimi nataka kufurahisha macho na kusoma atiko za wakuu wa inchi 2015 wakina ankal nanihii. Alafu mwamvie mashaka kwamba watu wanaugua sana talime kwenye machimbo ya noth mara

    ReplyDelete
  2. Us blogger)
    hizi diaspora ni mbwembwe za nabii John mashaka tu. Hakuna kitu hapa msitupige Changan la macho nyie watumwa wa nabii

    us blogger

    ReplyDelete
  3. Wish you all the best Mr Ankal.
    Pamoja we can!














    Thank you sana!!!
    R.Ndewingiya
    Dar-TZ.

    ReplyDelete
  4. pole na safari ankal sasa lakini kwa nini hukwenda kwanza kujipiga sop sop uoge ubadili nguo kwanza ndo utinge hizo ofisi? we ankal wee acha hizo kaoge ubadili nguo upesi ndo uje humu alah!

    ReplyDelete
  5. TUWAKILISHE ANKAL..

    DIASPORA INATUHUSU HASA WAMATUMBI WENZETU WALIOKWISHASHAFIKA HUKO KITAMBO TANGU UTUMWA NA WOTE WALIO NJIANI NA WANOISHI HUKO HADI SASA, NA NI KUWAKUMBUSHA KUHUSU NYUMBANI ASILIA MBALI NA KUDAI UTU NA HAKI SAWA ZA KUISHI WAWAPO HUPO..

    NINAPOMSOMA DR. WALTER RODNEY KTK KITABU CHAKE ''HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA'' NA KUKILIZA MASHAIRI YA BOB MARLEY KTK REDEPTION SONG, BUFFALO SOLDIER, AFRICA UNITE NA NYINGINE NYINGI ZINAZO HUSU UKOMBOZI WA MTU MWEUSI AU JAMII INAYOTENGWA KWA UJUMLA NAPATA HAMASA YA HALI YA JUU.. INAGUSA MNO!!

    YATAKAYOZUNGUMZWA HUKO KULINGANA NA AGENDA ZILIZOPANGWA NATUMAI ZITATUHUSU SANA SIE WA DUNIA YA TATU NA UTATANDAWAZI UNAVYOTUGUSA..

    KILA LA KHERI UNCLE MICHUZI.

    MDAU NJOMBE!!

    ReplyDelete
  6. Ankal, kazi nzuri sana na tunakutakia kila la heri katika diaspora 2. Swali dogo na la kizushi, je unazo fulanaaaz ya libeneke ngapi? maana jana ukiwa NIA, Dar, ulionekana na hiyo fulana, leo umeishawasili ubalozini Ukerewe unaonekana katika fulana hiyo hiyo!

    ReplyDelete
  7. Samahani kama nitakukwaza kwani Mr. Michuzi umeoa na kama umeoa mbona hatujawahi kuona picha ya mke wako? kama hujaoa naomba unioe mimi maana kila nikikuona napagawa. Hata kama umeoa dini yako inaruhusu mke zaidi ya mmoja niko tayari kwa lolote.

    ReplyDelete
  8. Mr Michuzi Am serious naona comment yangu hauweki kama utaridhia mimi niwe mke wako nitakutumia namba yangu au kwa sababu namba yako ninayo ukinikubalia nitakupigia. REAL I LOVE U

    ReplyDelete
  9. Umetua ukerewe mkuu wa jamii,utuwakilishe wanajamii, usiwe mwakilishi "bubu" kama upo bungeni,Diaprosa2 hakuna siasa inataka uje na mawazo,fikra za maendeleo ya kuunganisha wanahabari kwa jamii yote ya watanzania ulimwenguni.

    Tunakutakia kila la kheri.

    mickey jones
    Denmark

    ReplyDelete
  10. huyo kijana anaye mtaka ankal nahisi kama ni mwanaume coz hana maneno ya mwanamke kabisa,,kama akiwa mwanamke basi hana adabu na hastaili kuwa mke wa mtu,,tutumieni blog kujadili vitu kwa kutoa comment za maana,,tubadilikeni jamani...

    ReplyDelete
  11. Ankal tuachie wadau ze fulanazzz hiyo ukitoka Ukerewe.

    Naweka dau Tshs. 200,000/-

    ReplyDelete
  12. Kweli ze fulanazz ya ankal 'imesomewa' manake akina dada wanaona kabisa kwamba ankal yeye kila siku ni kusafiri tu bila ya mai waifu wake lakini na wao wanataka 'kumposa' ankal.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  13. Ze Fulanaaaazzzzz kweli kiboko!
    Ankal koti la nini?

    ReplyDelete
  14. uwiii michuzi uwiiii!!!

    ReplyDelete
  15. Na wewe mwanaKAKA unayemkosoa binti anayetaka unyumba kwa Ankal na wewe umekosa la kusema!....kwani alichokosea binti wa watu ni kipi?.......mtoto wa kike kamwona Ankal kamtamani na kete kairusha ...KAMA ANGEKUTAKA WEWE JE UNGEKASIRIKA KIHIVYO?......acha roho ya kwanini mkaka....haki sawa wanawake na wanaume......HUJAWAHI KUTAKWA NIN??

    ReplyDelete
  16. Kaka Michuzi please naomba unijibu wewe mwenyewe, serious nakupenda sana, usisikilize maneno ya watu naomba ufanye maamuzi kutoka moyoni mwako, Ki ukweli mimi nakupenda sana. Na sitajali kama utanipa masharti ndio maana nikakuuliza mara ya kwanza kama umeoa na kama umeoa dini unaruhusu mke zaidi ya mmoja. Naomba usiogope sitakuwa tegemezi kwako kwani mimi nafanya kazi na nina uwezo wa kujikimu. What I want is just to be your wife. Real I LOVE YOU. Pia kama hauko tayari naomba unijibu nijue nimeshindwa lakini kaa ukijua moyo wangu unaumia sana. Kuhusu afya usiwe na wasiwasi tutaenda kupima hata mara nne I'M OK, KEEP IN MIND I LOVE YOU

    ReplyDelete
  17. ankal huyu si mwanadada ,ni lijidume linakuzingua kama kweli anakutaka angekuambia kwenye simu na namba yako anayo......
    mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...