Mpita njia akishangalia ajali ya lori la mizigo lililopinduka kilomita chache toka mji wa Mikumi likitokea Iringa. Hakuna aliyejeruhiwa na inasemekana chanzo ni kufeli kwa breki katika mteremko huo ambao ni mkali. Ni moja kati ya ajali tano zilizoshuhudiwa na Globu ya Jamii katika barabara hii kuu kati ya Morogoro na Iringa
askari wa usalama barabarani wakiwa eneo la ajali hiyo ambayo hakuna aliyeumia


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. This is too much. Hamna sheria huko speed kila mtu anajiendea tu. Ajali tano ukiwa na safari moja sasa hizo mara 352. Hiyo barabara ni balaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...