lori la mizigo likiwa limepinduka nchani mwa mlima
maarufu wa Kitonga. Bahati njema hakuna aliyejeruhiwa.
ajali hii imetokea jana na hadi tunaenda hewani lori lilikuwa halijainuliwa.
Hii ni moja ya ajali tano zilizoshuhudiwa na Globu ya Jamii kwa siku mojasehemu ya mbele na chini ni kwa nyuma




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani hizi ajali ni uzembe wa madereva ubovu wa matruck au ni ufinyu wa barabara? mbona zinatokea sehemu nyeupe kabisa!!!!!
    Mimi ninaona madereve wanajisahau au wanakuwa wamechoka wanaendesha huku wamesinzia!

    ReplyDelete
  2. Jamani jamani, Msiwalaumi Madereva bure,
    Hizi Gari watu walishazisahau kama bado zinatumika Duniani.Chinekeeeeeh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...