Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. mjomba kalumanzila uliye naye kweli kasafisha nyota!! usipo jenga tu !! utakuwa mr. nice wa pili

    ReplyDelete
  2. Tunafurahi sana kuona Ali Kiba, TID, Ray C, Mr Blu wanatumbuiza ulaya KILA SIKU.

    Lakini pia muwe mnawapa chance kuleta vifaa vingine vipya kama kina Marlaw, Hussein Machozi, Baby J, Mwasiti, Maunda Zorro, Rama Dee.

    Pia ningeomba Bwana Michuzi uweke hii kama habari, mapromota wa Ulaya wamezidi kuleta wasanii hao hao kila mwaka, hii ni TOO MUCH.

    We got new talent with songs to entertain the whole night, tunakubali mnatengeneza hela ya kutosha kwa kumleta Ali K.

    Lakini itakuwa vizuri mki-balance kidogo na wasanii wengine wanaowika kwenye Bongo Flava

    Pia msisahau kuwapeleka kwenye radio, tv, magazine, nk kwa ajili ya promo. (sio mnawabwaga kwenye klabu za uchochoroni tuu kila siku).

    Ahsanteni

    ReplyDelete
  3. dogo umepiga bao kweli kisanii

    ReplyDelete
  4. Asante Uncle kwa kutujulisha kuhusu Ali Kiba, wengine tupo hapa helsinki lakini hatukujua kuwa anawasilisha. Asante sana kwa ujumbe.


    Mungu Akubariki Amen.

    ReplyDelete
  5. @ Anony wa pili hapo juu.
    Ushauri wako ni mzuri sana lakini Ali Kiba hajawahi kuja hapa helsinki kwa hiyo ni vizuri
    pia kupata nafasi ya kutumbuizwa na Ali Kiba, kila siku tunasikia tu leo yuko marekani kesho uingereza kesho kutwa ujerumani lakini ni furaha yetu pia tulio huku helsinki kupata nafasi hii ya kutumbuizwa na msanii maarufu kama Ali Kiba.

    ReplyDelete
  6. Ali K anastahili kuwakilisha kwani dogo anaimba sio mchezo.

    Big up Ali K.

    Bongo Foreva.

    ReplyDelete
  7. daah jamani Ally Kiba nyota umemuwakia si mchezo mwenyezi mungu akujaalie ufanye maendeleo ya maisha yako maana ijumaa sweden jmosi finland j2 greece dah imetulia ile mbaya mashabiki wako wa Greece tunakusubiri kwa hamu.

    ReplyDelete
  8. Tunafarijika sana. Tulikuwa tumezoea kuwaona watani wa jadi pekee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...