





Ankal anamshukuru Mola kwa kurejea nyumbani salama na anachukua nafasi hii kuwashukuru wadau wote wa Ukerewe kwa kampani bomba waliyompa, ikiwa ni pamoja na wale wa mji wa Kusoma, Slough, London na Diaspora kwa jumla. Anasema hasahau mapokezi na ukarimu wa waadu wa Ukerewe na kwamba yeye atarivenji pindi mtu akkitia mguu wake Bongo.
Libeneke Oye!
Tutapiga Mpaka Asubuhi lakini Hatukeshi
ReplyDeleteHey Michuzi ubarikiwe kwa juhudi zako zisizo na ukomo wa kutuhabarisha mengi. Ila nakushauri kitu kimoja muhimu jaribu kuwa na ratiba yako binafsi kutalii GYM, maana minuso hii itakuongezea kuwa mmoja wa watu wa aina ya big bell.
ReplyDeletelakini mbona Aboubakar Liongo kavaa hivo? hizo picha zina utata, mhhh..
ReplyDeleteKweli Abou Liongo vazi lako linatia shaka,si huko Ujerumani wewe,mbona wavaa kama wanunua pale karibu na kwenu -mchikichini ilala,any vipi maisha lakini Ujerumani?
ReplyDeleteAisee lazaro matarange shavu limekolea kweli punguza chupa mdogo wangu duh na kaka yangu poul james pigeni chupa kiasi kwa afya tu hahahahahahahahaaaaaaa
ReplyDeleteankal na suzi msalimieni Jimmy apson nimewamiss sana
ReplyDelete