anayeshikwa kichwa ni papaa Muddy Pizzaro wakati wa sherehe za hepi besdei ya kuzaliwa kwake zilizofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye kiota cha maraha cha Break point Kijitonyama jijini Dar. Pizzaro ni katibu mipango wa Sunday Soccer and Music Bonanza ya leaders club
ankal akijumuika na wadau kusherehekea hepi besdei ya kuzaliwa Muddy Pizzaro akiwa na toka shoto Deo Rweyunga, George Njogopa, Aboubakar Liongo, Lazaro Matarange, Saidi na Muddy Mwenyewe. Hilo sio jasho ni mvua ilimyeshea anko wakati anawahi mnuso huo....msianze....

ankal na wadau wakiwa GuangZhou Garden nyumbani kwa Machozi band
Jide akipozi na Aboubakar Liongo na mdau wa Ujerumani, Janet
Abou na mdau wa Ujerumani na wadau
ankal aki-chill na wadau wa Zantel kwa Jide
Kepteiiiin Gadna G anajiunga na ankal na wadau wa Zantel.
Ankal anamshukuru Mola kwa kurejea nyumbani salama na anachukua nafasi hii kuwashukuru wadau wote wa Ukerewe kwa kampani bomba waliyompa, ikiwa ni pamoja na wale wa mji wa Kusoma, Slough, London na Diaspora kwa jumla. Anasema hasahau mapokezi na ukarimu wa waadu wa Ukerewe na kwamba yeye atarivenji pindi mtu akkitia mguu wake Bongo.
Libeneke Oye!







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Tutapiga Mpaka Asubuhi lakini Hatukeshi

    ReplyDelete
  2. Hey Michuzi ubarikiwe kwa juhudi zako zisizo na ukomo wa kutuhabarisha mengi. Ila nakushauri kitu kimoja muhimu jaribu kuwa na ratiba yako binafsi kutalii GYM, maana minuso hii itakuongezea kuwa mmoja wa watu wa aina ya big bell.

    ReplyDelete
  3. lakini mbona Aboubakar Liongo kavaa hivo? hizo picha zina utata, mhhh..

    ReplyDelete
  4. Kweli Abou Liongo vazi lako linatia shaka,si huko Ujerumani wewe,mbona wavaa kama wanunua pale karibu na kwenu -mchikichini ilala,any vipi maisha lakini Ujerumani?

    ReplyDelete
  5. Aisee lazaro matarange shavu limekolea kweli punguza chupa mdogo wangu duh na kaka yangu poul james pigeni chupa kiasi kwa afya tu hahahahahahahahaaaaaaa

    ReplyDelete
  6. ankal na suzi msalimieni Jimmy apson nimewamiss sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...