tunzo kwa juhudi zake katika kipindi cha Sporah Show
Mengi kuhusu New Deal Africa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
watoa tuzo mmekosa shukuran, kuna taasisi nyingi zinatoa mchango mmeziacha.
ReplyDeletebadala yake mnawapa watu tuzo ambao bila kudharau mchango wao, wamekuwa machoni na masikioni kwa muda usiozidi mwaka mmoja.
anyway, hatujui vigezo mlivyotumia. sioni kwanini apewe Sporah aliyekuja juzi, wakati kuna old school mmekuwa mkiwatumikisha miaka nenda.
Kweli kabisa nakubaliana na mtoa maoni hapo juu. Haya mambo ya kujikomba na kibongo bongo mmmmmmmmmmmm kazi kweli kweli
ReplyDeleteHuyo Mr Baraka Msilwa kwa kweli anastahili tuzo kama hizo , manake mbali na kuwa Accountant by proffessional kwa muda mrefu ameweza kutumia muda wake mwingi pia katika kukuza sanaa ya burudani tokea enzi za Bendi za M.K GROUP ikiwa pale Bandari Grill, New Afica Hotel wakijulikana kama ngoma za magorofani, M.K Beats wana Tukunyema, M.K Sounds ya kina NYOSHI ELSADAT wa FM Academia, ELLYSTONE ANGAI,King Dodoo na kisha kuanzisha hiyo African Stars Band"Twangapepeta" inayotamba mpaka sasa. Tumemsikia siku nyingi na mpaka leo bado yupo katika game
ReplyDeleteJamani wivu acheni, Mbona hii Sporah Show ipo kwa miaka kadhaa.
ReplyDeleteNdugu zangu jaribuni kuapreciate.
WELL DONE SPORAH, YOU DID IT.
HONGERA MZEE WA ANKARA, NA PIA HONGERA SANA DADA SPORAH HASA KUPATA AWARD AT YOUNG AGE.. MAMA KWA JUHUDI ZAKO UTAZIKUSANYA AWARD NYINGI SAANA, KEEP IT UP.
ReplyDeleteIVI JAMANI NANI KAWADANGANYA KUPATA AWARD NI LAZIMA USOTE KWA MIAKA 10?
EBU ACHENI UJINGA NA MJARIBU KUWASAPORT WATANZANIA WENZETU
ACHENI ROHO ZA KOROSHO HUYU DADA ANATUWAKILISHA, NAINABIDI TUKUBALI MAANA HUO NDIO UKWELI WENYEWE.
HONGERA SANA DADA SPORAH, TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI NA UZIDI KUWINI MORE AWARD.
Wivuuuuuuuuuuu
ReplyDeletehongereni jamani
Jamani kwa kweli huyo Baraka Msiilwa ambaye hii juzi juzi tumemuona akishiriki kikamilifu kwenye Diaspora 2 mjini London ni kiunganishi kizuri kati ya sisi Wa DIASPORA na huko nyumbani Bongo. Mchango wake,na muenekano wake kwenye community ya Wa Diaspora unafaa kuenziwa na kuigwa na sisi wengine. Above all, Akiwa anaishi na kusoma UK wakati wake hakusahau Ku invest nyumbani.
ReplyDeleteni TUNZO au TUZO?naomba msaada.
ReplyDeleteWell done Sporah, We love you girl.
ReplyDeleteKEEP IT UP.
hongereni wote mliopata tuzo. Ni tuzo Mchuzi siyo TUNZO
ReplyDelete