Paul Scholes kept Manchester United's Premier League title hopes alive as his dramatic winner seconds from the end sunk Manchester City at Eastlands. More from BBC Sport
CLICK HERE

NDIO HIVYO TENA - MAN U HAWAKUAMINI KUPATA USHINDI JANA KATIKA SEKUNDE ZA MWISHO DHIDI YA MAN CITY. HUYO JAMAA SI MNAMJUWA HAPO JUU - AKISHINDA INAKUWA HAPAKALIKI MTAANI. UNAAMBIWA KOPA KWA MTAJIRI MPATA ZAMANI USIKOPE KWA MTAJIRI MPATA LEO. HAO WALIOANZA KUCHUKUWA UBINGWA KWENYE 1990s tokea 1965 SI MNAWAJUWA INAKUWA KAMA LIMBUKENI.
- MDAU OMAN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mdau wa oman,wewe ulioanza kuchukua ubingwa zamani na hawa walioanza kuuona ubingwa 90's mpaka sasa mna makombe ya ubingwa mara ngapi??jibu ni 18 wote,nyie mlioanza zamani na wa sasa,HUNA POINT TULIA,
    ur history we're the present and future,i mean MAN UTD

    MICHUZI BANA NA HII COMMENT.

    ReplyDelete
  2. ingependeza zaidi kuona picha ya chealsea hapa yani manuu mnaichukia buure mnaionea gere lakini mjue tuu ndo timu bora tukifungwa kosaa tukishinda dongeee eboo tucheni tule vinono na debe tupu haliachi kuvuma endeleeni tushawazoea

    ReplyDelete
  3. ahh hapa kaka umechemsha si aramba ni mchumu tena mmmmwaaaaaaa!

    ReplyDelete
  4. toba, jamaa wanakulana denda

    ReplyDelete
  5. ha ha ha we mzee wa Omana tutakuajiri kwny marketing dept ya MU FC manake unatupigia debe kweli na kuongeza presha kwa mashabiki wa timu zingne wajue ubaya wa kikosi ha ha ha

    Thanx kwa hilo

    Umoja ni nguvu

    Man u Fan

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...