
Rais wa Poland Lech Kaczynski na mkewe enzi za uhai wao. Habari zinasema Rais huyu, mkewe na wengine zaidi ya 80 wamekufa leo katika ajali ya ndege wakati ilipokuwa inakaribia kutua katika uwanja wa ndege wa Smolensk Kaskazini ya Urusi.
MIMI NAPENDA KUUNGANA NA WATANZANIA WENZANGU WOOTE KUWAPA POLE WANANCHI WA POLAND KWA KUPOTEZEWA RAISI WAO PIA NA MKE WAKE NA PIA UONGOZI WOTE WA POLAND MAANA KARIBU WOOTE WAMEFARIKI NI PIGO KUBWA SANA KWA PAMOJA TUNAOMBA MUNGU AZILAZE MAHARI PEMA PEPONI ROHO ZA MAREHEMU HII APA NI KIPANDE CHA MAELEZO JUU YA AJARI HIYO ILIYO TOKEA LEO ALFAJIRI
PAMOJA TUNAENDELEZA LIBENEKE
MDAU
MALAYSIA

PAMOJA TUNAENDELEZA LIBENEKE
MDAU
MALAYSIA
Soma habari kamili na chanzo
Poleni sana wapolish
ReplyDeleteIngetokea bongo.. mshike mshike wake wa kugombea nafasi zilizoachwa wazi.. ingekuwa soo
ReplyDelete