akisubiri kwa hamu kukata keki leo
Shikamoo ankal.
Namshukuru mwenyenzi mungu kwa kunijalia uhai na afya njema. Pia nawashukuru wazazi wangu Rajabu na Zakia kwa malezi bora na upendo. Leo ni siku ya hepi besdei ya kuzaliwa kwangu, ninatimiza miaka mitatu.
Ndimi Tafi,
Mdau wa Uppsala,

Sweden
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...