For Source
Home
Unlabelled
Chege & Temba ft Wahu Mkono mmoja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
For Source
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani, hivi hawa watu wa ubongo wa flava hawawezi kutunga nyimbo zisizo za mapenzi? nani hajui kutongoza au mapenzi wanayemfundisha? Kama wanyama kama mbuzi, kondoo, mbwa,ng'ombe hata wadudu wanajua kutongoza itakuwa kwa binadamu anayeweza kuongea? labda wameona wabongo ni machizi wa mapenzi!
ReplyDeleteanony hapo juu acha kulialia juu ya nyimbo za mapenzi.hao wanamuziki wa ughaibuni,Sebene,Jazz,n.k wanaimba nyimbo za mapenzi kila leo itakuwa hao wa bongo flava?labda wanaona zinalipa je?waache na ajira zao.
ReplyDeletePini lime2lia eniwei.........
Hili pini limesimama,ingawa huwa sisikii vizuri maneno wanayoimba....good colabo
ReplyDeleteNYIMBO NYINGI ZINAZOIMBWA DUNIANI NI ZA KUHUSU MAPENZI ASILIMIA KARIBU 99% NI CHACHE SANA ZINAIMBA MAMBO MENGINE NA NI WANAMUSIKI WACHACHE SANA WWENYE INTEREST NA NYIMBO ZA MAMBO MENGINE MMOJA WAPO ALIKUWA JACKO WACKO AMBAYE ALIKUWA NA KIPAJI CHA KUIMBA NYIMBO ZA MAMBO MENGINE, LAKINI HADI SASA ASILIMIA KUBWA ZA NYIMBO NI ZA MAPENZI KWA NAMNA MOJA HADI NYINGINE NA UNATAKIWA KUJUWA KUWA MUSIC NI BIASHARA NA NI KAZI SO WATU HUWA WANATAFUTE NICHE INAYOLIPA NA WAPENZI WENGI WA MUSIKI HUPENDA ZA MAPENZI, LABDA WAZEE WA CCM NDO WATAPENDA ZA SIASA LAKINI MUSIC MAANA YAKE MAPENZI, SO STOP MOANING ABOUT LOVE SONGS. THAT IS HOW IY GOES MAN.
ReplyDeleteWEWE UNATAKA WAIMBE KILIMO KWANZA? AU KILIMO UTI WA MGONGO?
ReplyDelete